James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu.

“Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa kutumika kujenga msingi imara wa taifa letu. Tusiruhusu tofauti hizo ziendelee kutugawa,” alisema Mbatia.
 
Nilikuwa Katumba Bar ghafla tukaambiwa tulale Chini nje kuna vita nilipochungulia ndio nikamuona Tamimu akiwa ndani ya Lori la Bia ila Nyaucho nilimuona baadae sana

Uhaini siyo masihara ndugu zangu

Benjamin Netanyahu 😂ulikuwa bado viunoni
 
CCM kumejaa vilaza, hawaangalii maana ya kosa. Wanaangalia adhabu ya kosa.
 
Samia akifa, mbuzi na pombe vitanivurugia hesabu
 
CCM wenyewe inaonekana hata haijui maana ya UHAINI
CCM wenyewe tunajua kabisa hii kesi ni ya kumdhibiti mtu. Wangemwachia tu inatudhalilisha na kuonekana kama tunamwogopa LISSU. alishapata adhabu ya kutosha ya kupigwa shaba 16
 
Samiah amefanya kosa la uhaini liwe dogo Sana. Shauri zake
 
Daah aibu sana hii
Kwani huko kwenye chama cha ki communist hamna think tank?mbona china U communist wao wa akili sana
Nashangaa sisiemu mazuzu wengi ndo wapo huko
Au ni kikundi cha mazuzu wenye inferiority complex wamejipanga kuwatesa watu ambao ni bora kushinda wao
 
Back
Top Bottom