Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,711
Acha kuandika ujinga ndugu, wewe kwa hiki ulichokiandika naona upo radhi kumwachia Bosi wako alale na mkeo kwa kuwa tu umepata ajira katika kampuni yake. Mbatia ameteuliwa na Rais na hakuzawadiwa kama unavyojitanabaisha na akiwa kama Mwanasiasa kamili hawezi kufuata ujinga wa CCM na kuwasaliti wananchi na hapo alipo amejijengea heshima kubwa tofauti na angeendelea kuishabikia CCM na mambo yao ya kijinga.
Good, tofauti na mrema maukimwi,kupewa pension tu amelegeeeeeeeea atagongwa bure