James Mbatia huna shukrani

James Mbatia huna shukrani

Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Acha kuandika ujinga ndugu, wewe kwa hiki ulichokiandika naona upo radhi kumwachia Bosi wako alale na mkeo kwa kuwa tu umepata ajira katika kampuni yake. Mbatia ameteuliwa na Rais na hakuzawadiwa kama unavyojitanabaisha na akiwa kama Mwanasiasa kamili hawezi kufuata ujinga wa CCM na kuwasaliti wananchi na hapo alipo amejijengea heshima kubwa tofauti na angeendelea kuishabikia CCM na mambo yao ya kijinga.
 
we kichaa,yani asaliti maoni ya wananchi..katengenezeni katiba yenu lumumba
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Iliteuliwa Tume ya Rais-ikiongozwa na Jaji Warioba-nayo inakejeliwa
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
Kuwa mteule unapaswa usaidie kazi sio iwe rushwa inayopofusha macho ya kuona uovu, ila ni njia ya kusaidia na kurahisisha uzito wa mzigo!!
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Acha MASIMANGO! MAMLAKA ILIYOMTEUA HAIKUMPA MASHARTI!
 
Mlitegemea awe kama Mwingulu?? Poleni. Anajua kuwa kama akijifanya juha na kukimbilia kwenye dhuluma, mwakani hakuna atakaye mchagua. Bahati hairudi, sasa watu wamejua kuwa ni mtetezi wa wanyonge hivyo mwakani atawatoa jasho washindani wake popote.
Haswa huyo kichaa mwenye kuwaza ubunge wake tu Mrema, ati anadhani mwakani atagombea tena. Hata angeenda gombea kule Kiraracha hakuna atakayempa. Angojee hapo hapo BMK azikunje hizo za bure.
 
Mbatia anajitambua, tofauti na mainterahamwe ambayo asilimia kubwa ya akili zao zinashikiliwa magogoni, hapo dodoma wamebakishiwa kiasi kidogo tu kutosha kutukana,kuzomea na kuvukia barabara.
Duh.... hii kali kuliko, kwa siku ya leo inaweza kuwa top of the list..... kuliko vigongo vyote vilivyoshushwa humu JF!!

Ya kwamba kumbe hii mibunge ya katiba, akili zao zimehifadhiwa kwenye shelves za pale Magogoni, wamebakishiwa kiduchu tu za kushindana nani atachukuwa jackpot Ya kufurumusha mitusi mle mjengoni!!!!
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Kwa sababu wewe unapeleshwa kwa buku7 tu?je ungepewa wewe huo ubunge nadhani ungeruhusu ufanywe chochote.
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

...walamba viatu sikuzote wanajali maslahi yao kwanza bila kujali taifa,hao ndo ccm et al,na kwa hulka hizi eti wanajadili katiba kwa maslahi ya taifa....!?
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Ficha upum-ba-vu wako huko kwenu. alikwambia alienda kulipa fadhila. ndo nyie waji-nga mnaoliangusha taifa. Ningekuwa nakufahamu kwa sura, ningekutafuta nikupe kisu cha ta-ko
 
nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa mheshimiwa james mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

nchi hii inakwenda kubaya kwa sababu viongozi wengi wa kuteuliwa uwa ni watu wanaojali maslahi ya yo na mtu aliyewateua na ndo maana hata wewe bila kufikili unaona mheshimiwa mbatia kuwa anakosea ...hamjazoea kabisa,mbatia hayupo hapo kulipa fadhira ,yupo hapo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi na kama huyo jk alitegemea fadhira kama anazokuwa anapata kwa mambulula wengine basi kwa mbatia ameula wa chuya..jamaa ni mtu makini hata kwenye hoja nyingine yupo moto sana ..sasa pole kwa akili mgando ulizonazo na si kosa lako ndo system yenu inavyofanya kazi kwa kulipana fadhira.

Hivi hukujishtukia kuposti wazo hovyo kama hili...?
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Kwanini usiteuliwe wewe kama ni ngawira tu????
 
Hivi kwani Mbatia aliwapigia magoti mumteue ?
Mwanzoni alipiga mkuu ..walivyomteuwa tu wakawa wameingia cha kike..kumnyanganya huwezi labda umdhuru..hata juzi mafutiko unaona kaangaika km alivyokua anaangaika kabla hajawa mbunge..
 
Mbatia hivi nae bado yumo mi nilijuaga alishaga fulia long.anawasindikiza wenzake
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

swali;ulitaka atetee ujambazi wa ccm? then unaposema ukawa sio kundi rasmi akili yako ni timamu? tafakari na usiwe kibaraka wa haya ma ccm.
 
Back
Top Bottom