Majebelle uko sahihi lakini ndio maana halisi ya siasa.CDM walisema amehongwa ubunge lakini sasa wanamsifia.sasa ndio mjue JK ni mtu wa namna gani.
Majebelle uko sahihi lakini ndio maana halisi ya siasa.CDM walisema amehongwa ubunge lakini sasa wanamsifia.sasa ndio mjue JK ni mtu wa namna gani.
Rais hakumteua kama zawadi. alitambua na kukubali mchango wake.Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
Kunatofauti ya kuishi kwa usaliti
1. Masumbuko Lamwai
2. Augastine Lyatonga Mrema
3. Prof Shivj
Nk
Hawa wanaishi kwa kuweka uwezo na akili zao mifukoni, wanatumika kupotosha na kuangamiza haki ya waliowengi kwa ushawishi wa elimu, nafasi na umaarufu wao
Kuishi kwa ukweli bila kujali ukweli huo unamuumiza aliyekuteuwa kwa lengo la kutmika na kumtumikia kuficha uchafu na uovu wake.
James Mbatia ni muumini wa kweli wa kutafuta utatuzi wa matatizo na kero mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa zinazowafedhehesha watanzania na kuwatia aiubu muda wote kwa umaskini usioelezeka.
Nikutokana na ujasili, weledi na uelewa wa Mh Mbatia kwamba hawezi kuwasaliti waliowengi kwa manufaa ya koo za wachache kuhozi utajiri wa Taifa hili.
Mbatia ni hazina kwa Taifa la watu makini na wakweli kwa faida ya wote.
Duh, inahitaji kweli kuchonganisha hivi?Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.[/QUOTE
Ulitaka asujudu upuuzi wa CCM, you must be idiot
Mbatia anajitambua, tofauti na mainterahamwe ambayo asilimia kubwa ya akili zao zinashikiliwa magogoni, hapo dodoma wamebakishiwa kiasi kidogo tu kutosha kutukana,kuzomea na kuvukia barabara.
Kumbe ukiteuliwa ni lazima ufuate ya mteul???? Majanga.. kumbe ndio maana kina Mwakyembe wamebadilika hivyo baada ya uteuzi?? Huu ndo USALITI
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
CDM walisema amehongwa ubunge lakini sasa wanamsifia.sasa ndio mjue JK ni mtu wa namna gani.