Kunatofauti ya kuishi kwa usaliti
1. Masumbuko Lamwai
2. Augastine Lyatonga Mrema
3. Prof Shivj
Nk
Hawa wanaishi kwa kuweka uwezo na akili zao mifukoni, wanatumika kupotosha na kuangamiza haki ya waliowengi kwa ushawishi wa elimu, nafasi na umaarufu wao
Kuishi kwa ukweli bila kujali ukweli huo unamuumiza aliyekuteuwa kwa lengo la kutmika na kumtumikia kuficha uchafu na uovu wake.
James Mbatia ni muumini wa kweli wa kutafuta utatuzi wa matatizo na kero mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa zinazowafedhehesha watanzania na kuwatia aiubu muda wote kwa umaskini usioelezeka.
Nikutokana na ujasili, weledi na uelewa wa Mh Mbatia kwamba hawezi kuwasaliti waliowengi kwa manufaa ya koo za wachache kuhozi utajiri wa Taifa hili.
Mbatia ni hazina kwa Taifa la watu makini na wakweli kwa faida ya wote.