EMAC kilianza vizuri lkn siku zilipozidi walianza kuomba rushwa ili wapitishe kitabu. baada ya rushwa kushamiri, wenye vitabu walilazimisha vitabu vyao vipitishwe haraka iwezekanavyo. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. hali hiyo iliwafanya EMAC wasipitie vitabu kwa umakini.
Inaelekea wewe ama ni mmiliki wa kampuni ya uchapaji vitabu na ulitoa rushwa kwa EMAC ili vipitishwe. Sasa unaona Mbatia kawashika pabaya vitabu vyenu vitawadodea unaanza kutetea kuwapo na makosa kwenye vitabu halafu unasema hiyo siyo sumu kwenye elimu. Basi nachukua nafasi hii kukuunga mkono kumpongeza jwa dhati mwandishi aliyeandika 2x7=15; 0/0=0. Naomba waandishi wote wa vitabu muige mfano wa bingwa huyo kama anavyopendekeza mleta hoja yaani watanzania wanafunzishwa kusifia ujinga kiasi hicho! Hivi nani anayechanganya elim na siasa, ni mleta mada hii uchwara au ni Mbatia alivyoanika uozo na kuonesha jinsi gani rushwa ina nguvu kuliko hata uzalendo katika masuala muhimu kwa taifa. Bila hata aibu watu wanapitisha vitabu vyenye makosa na wengine mchana kweupe wanaleta thread ya kuwatetea.
Basi waambie waongeze na hesabu ziuatazo ili vitabu vyao vipate wateja zaidi|
2+3 = 23; 3+3=33
Kwanza si kazi ya Mbatia kufanya kazi ya kurekebisha makosa ya kizembe kwenye vitabu! Kwanini kitabu muhimu kama kinachotumiwa kwenye kazi nyeti kama hii kisihakikiwe? Hujui kwenye sayansi kosa moja dogo linaweza kuleta maafa! Makosa madogo madogo namna hiyo yangekuwa yanaoneka si kitu ndege zisingeruasina maslahi yoyote na uandishi. suing mkono makosa kuonekana ktk vitabu hapa nchini. kilio change ni kwamba jambo hili limekuzwa sana. haiwezekani kitabu chenye maswali zaidi ya elfu moja swali moja likosewe jibu lake kasha kiitwe sumu. hapo ndipo ninapo palalamikia. mbatia nahisi ametumwa na hiyohiyo serikali ili taasisi waturudishe miaka ya nyuma kwa kuwa waandishi pekee wa vitabu vya shule. kampuni binafsi kwa mfano oxford, macmilan, longman, educational, ben, mture na mkuki na nyota wamefanya kazi kubwa sana. mimi ni mwalimu kwa kipindi cha miaka 10. vitabu vingi vinaleta changamoto na ni msaada mkubwa kwa walimu
sina maslahi yoyote na uandishi. suing mkono makosa kuonekana ktk vitabu hapa nchini. kilio change ni kwamba jambo hili limekuzwa sana. haiwezekani kitabu chenye maswali zaidi ya elfu moja swali moja likosewe jibu lake kasha kiitwe sumu. hapo ndipo ninapo palalamikia. mbatia nahisi ametumwa na hiyohiyo serikali ili taasisi waturudishe miaka ya nyuma kwa kuwa waandishi pekee wa vitabu vya shule. kampuni binafsi kwa mfano oxford, macmilan, longman, educational, ben, mture na mkuki na nyota wamefanya kazi kubwa sana. mimi ni mwalimu kwa kipindi cha miaka 10. vitabu vingi vinaleta changamoto na ni msaada mkubwa kwa walimu
Siku hizi bungeni wanamwita Engineer, huu ni u-KIHIYO mwingine. tunajua alisomea Uhandisi na akafukuzwa chuo muhula mmoja kabla ya kumaliza, na muda wote huo amekuwa mwanasiasa wala hiyo fani hajawahi kuitumikia.