Jameeni, Maana ya kusepa?

Jameeni, Maana ya kusepa?

Colea911

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
24
Reaction score
5
Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
 
Kusepa maana yake ni kuondoka ni neno la Wabongo tu linatumika Bongo tu ukilisikia nchi nyingine basi lazima watakuwa ni wabongo na kama si Wabongo basi hao wanaolitumia watakuwa wameliazima toka Bongo.

Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom