Naamini wengine si watanzania. Anzeni kuhoji kinachoganywa na news of rwanda. Haiwezekani rais wetu na nchi yetu tutukanwe, halafu tukae kimya. Balozi wa rwanda kama kweli ni mkweli, alikemee gazeri lake kwanza. Press ya tanzania inachekwa sana kwa kutomshughulikia pk na wafuasi wake. Nawaunga mkono jambo leo.
1. International community ipi? Weka hapa any article inayosema what RPF was trying to achieve was wrong..(facts only)
2. Nimekuambia hapo awali kuwa venue ya arusha sio kigezo cha kujivunia. Tulivyokuwa tumewashika pabaya hata kwenye moon wangeenda tu.
3. Naomba unijibu na vile vile wana JF wachangie...kama habyarimana alishakubali ku share power, why would RPF kill him? Matakwa yetu wameyakubali sasa kwa nini auawe. Kama asingekubali hapo nadhani ndio RPF ingekuwa na sababu za msingi za kumuondoa madarakani na kama angeng'angania kubaki rwanda basi hapo ndipo labda angekuwa casualty of war. Labda nikueleweshe mambo ya negotiations....katika pande zote mbili moja huwa inakwa na upper hand. Na mara nyingi serikali iliyopo madarakani ikiona imezidiwa, hapo ndipo hukubali kukaa mezani na wapinzani. So, kati ya RPF na serikali ya rwanda, aliyekuwa na upper hand ilikuwa RPF. Sitaki kukuambia nani waliitungua ndege hiyo kwa sababu unajua. Ila nia yangu ni kuwajaribu kuwaelezea watanzania ili wachambue kwa kina wajue ukweli uko wapi?
hahaha. labda nikuulize kwa lugha simple inayotosha akili yako wewe mbumbumbu usiye na akili. NIKITAKA KWENDA KWENYE HIYO HABARI NABONYEZA WAPI? hiyo ndio maana ya kuweka link pi.m.bi wewe! Unataka niamini habari imetoka the east african kwa sababu tu we umeipachika hapa?
Bonyeza kwenye nanihii yako the East Africa itafunguka.
wewe mwenda.wazimu umeshindwa mjadala wetu unadandia ya wenzio, huu haukuhusu ni kati ya mimi na huyu mwenzio muungwana. Wewe ukishashindwa mwisho wako huwa kama ifuatavyo remember?
"Kitu kingine wewe" ndo kitu gani?Funguka tu kama unajiskia kufanya hivyo.Acha udukuzi. Jamhuri kitu kingine wewe.
Ni hao hao jambo leo ama ni jamhuri?Maana kuna jamaa kajaa juu kwa kaswali kiduchu tu.Wafadhiri wa Masogange.
Unaposhupalia kujibu propaganda za kipumbavu wewe ndo unaonekana --------."propaganda hujibiwa kwa propaganda"-Mimi,2014
Hear me again; hakuna mtu anayeunga mauji mkono. Na hakuna sehemu mimi niliunga mauaji mkono; kama ipo show me! My argument is, who caused the genocide in rwanda? and why did it happen?.. kwanini watutsi wa rpa walivamia rwanda wakitokea uganda? Nasema walivamia coz wengi wao hasa viongozi wa PaKa na Fredy Rwigyema walikuwa na uraia wa uganda. Kingine ninachopingana na watutsi ni hizo tabia zao za kujiona wao they are superior to other races in africa, especially wahutu!.. na tabia zao za kujiona wao ndio wanaweza kuwatawala wengine hata kwa kumwaga damu just as they did in uganda, rwanda and now what they are trying to do in DRC? Hizi chokochoko zao kwa Tanzania wanakotaka kuelekea ni huko huko kama walivyofanya uganda na rwanda na huko DRC!....Mkuu Rushasha sasa mbona unajihami? Aliyesema una google information ni nani? By definition genocidaire ni yeyote anayekataa or he/she who waters down the genocide in that took place in Rwanda in 1994. Kauli zako zina-fit hii description. Hata mimi nimeenda Rwanda na Burundi na Uganda na Kagera na Kigoma mpakani kabisa na Rwanda na Burundi. Hapa suala si matembezi bali ni uungwaji mkono wa hawa wauaji wa FDLR na baadhi ya watanzania wenzi wangu. Hili linasikitisha kwani pindi watanzania watakapoujua ukweli watajutia nafsi zao.
..you i.di.ot are you back again?....sina muda wa kubishana na wewe M.SE.NG.E wa KIKE.. kaongee na malaya wenzako; hapa sio size yako!...:Cry::Cry::Cry: you can't see my heart. What a wuss. Sijawahi kuona mtu emotional kama wewe. Wewe ni dume au jike?
..you i.di.ot are you back again?....sina muda wa kubishana na wewe M.SE.NG.E wa KIKE.. kaongee na malaya wenzako; hapa sio size yako!...
Ni hao hao jambo leo ama ni jamhuri?Maana kuna jamaa kajaa juu kwa kaswali kiduchu tu.
"propaganda hujibiwa kwa propaganda"-Mimi,2014
WanaJF,
Nimekuwa nafuatilia muda mrefu ufyukunuku wa hili Gazeti juu ya Kagame, kwa muda sasa limekuwa likiandika front page habari za Kagame zilizojaa fitna, majungu na story za hisiahisia tu.
Nimekuwa nikijiuliza Malengo ya hili Gazeti ni nini juu ya Diplomasia yetu na Rwanda au nani yuko nyuma ya hili Gazeti?
Tumeshuhudia Ikulu wakikerwa na Magazeti ya Rwanda yanayoandika hisiahisia zisizo na ukweli juu ya Rais Kikwete vipi kuhusu JamboLeo?