Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,277
- 144,454
Hakika...Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.
Samia siyo Rais ni Malaya lililojipachika urais kwa kumwaga damu za watuNarudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Samia siyo Rais,Ni mtawala muuaji ✅……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.
Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.
Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.
Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?
Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.
Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.
Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Nimemeseketaka sana toka nilipo ona hiyo barua, naona nchi imepoteza kama muelekeo zaidiNipo na Emmanuel bhana naona wasizwa wanagawana mbao yeye kawekwa kama picha tu..
Sawa kabisa...Picha za mauaji zianze kuwekwa tena na video za October 29
Nini kifanyike mkuu kujiepusha na hili……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.
Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.
Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.
Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?
Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.
Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.
Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Kweli mkuu... ebu twende taratibu kidogo ili tupate suluhu ya mambo haya. Kuua mtu au watu sio sahihi kamwe ni lazma tukatae kabisa. HIVI SERIKALI ILIBIDI IFANYE NINI BAADA YA KUONA FUJO.WIZI.UPORAJI nk siku hiyo ya uchaguzi maana nauliza ili tuwepuke kurudia makosa hayo.……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.
Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.
Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.
Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?
Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.
Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.
Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Umeongea ukweliNimemeseketaka sana toka nilipo ona hiyo barua, naona nchi imepoteza kama muelekeo zaidi
Nchimbi hastahili pongezi wala kusifiwa kwa lolote.……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.