😂😂Lile lilikua kombe la diwani.Kichaka cha abiola cup kimeshafyekwa sasa ni mwendo wa kutunga historia ya kuileta fainali bongo😂😂😂😂😂
huyo hana akili,amechanganyikiwaIngekua fainali ni mechi ya pili, kwa matokeo ya jana bingwa angepatikana kwa penalty
No.. YANGA MAKUNDIYANGA BINGWA
Unamkera nani sasa hapo...🤣Tunawakeraaaaaaaa........sisis hao hatuna habariiiii
YANGA BINGWANo.. YANGA MAKUNDI
Wewe mbona umekuja?.hiloooUnamkera nani sasa hapo...🤣
Hata sisi Diarra alikuwa man of the match pia, sema lingine.Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha.
Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya.
View attachment 3346338
Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu tuliomkatia tamaa. Miezi miwili hivi ya hapa mwishoni katika mashindano ya CRDB Cup akaanza kuonyesha dalili za kuwa bora na jana akashinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali mbele ya wachezaji tulioambiwa wana thamani ya mabilioni ya pesa na wanaogombaniwa huko Ulaya.
Ukiacha goli alilofunga, Mutale jana angeondoka pia na assist kama siyo famba aliyofanya Kapombe na angeweza kuipa Simba ubingwa wa CAF.
Ni mwisho bora sana wa story hii ya Simba katika fainali hizi.
NB. Pia ni uthibitisho kuwa ni timu ya Simba SC pekee iliyowahi kuleta fainali ya CAF hapa nchini, na tena imeleta fainali mbili. Hakuna timu nyingine ya Tanzania imewahi kuleta fainali ya CAF nchini Tanzania na kombe tukaliona.
Mechi ya kwanza ni utangulizi wa fainali, CAF wanahesabu fainali mechi ya pili tu na ndiyo inayotoa mchezaji bora.
Huu "utani wa jadi" unalea viroho fulani vibaya na vichafu ndani ya nafsi zetu.Hata sisi Diarra alikuwa man of the match pia, sema lingine.
Hizo ni siasa za mpira tu, kupoza machungu kwa walioshindwa View attachment 3347801
Pole Mkuu, inaonekana una stress sana. Yaani umeshusha bar ya mafanikio ya Simba mpaka unashangilia man of the match na Simba kuleta kombe ambalo hawajalichukua? Dah!Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha.
Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya.
View attachment 3346338
Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu tuliomkatia tamaa. Miezi miwili hivi ya hapa mwishoni katika mashindano ya CRDB Cup akaanza kuonyesha dalili za kuwa bora na jana akashinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali mbele ya wachezaji tulioambiwa wana thamani ya mabilioni ya pesa na wanaogombaniwa huko Ulaya.
Ukiacha goli alilofunga, Mutale jana angeondoka pia na assist kama siyo famba aliyofanya Kapombe na angeweza kuipa Simba ubingwa wa CAF.
Ni mwisho bora sana wa story hii ya Simba katika fainali hizi.
NB. Pia ni uthibitisho kuwa ni timu ya Simba SC pekee iliyowahi kuleta fainali ya CAF hapa nchini, na tena imeleta fainali mbili. Hakuna timu nyingine ya Tanzania imewahi kuleta fainali ya CAF nchini Tanzania na kombe tukaliona.
Mechi ya kwanza ni utangulizi wa fainali, CAF wanahesabu fainali mechi ya pili tu na ndiyo inayotoa mchezaji bora.
Wewe ni shrink?Pole Mkuu, inaonekana una stress sana. Yaani umeshusha bar ya mafanikio ya Simba mpaka unashangilia man of the match na Simba kuleta kombe ambalo hawajalichukua? Dah!
Yeah. You need help?Wewe ni shrink?
Wamebeba mkuu,hili hapaIla ulituhakikishia lazima Simba abebe kombe, ilikuaje ikashindikana?
Jisaidie wewe kwanza kwa kuona mimi nafurahia story binafsi ya safari ya Mutale msimu huu na kusema wazi kuwa "ndiyo jambo pekee lililonifurahisha" na wewe kutafsiri maneno hayo kama nina stress na nashangilia na kushusha bar ya mafanikio ya Simba.Yeah. You need help?
Hii picha akiona Lucy Eyamel anajua kabisa hawa ni Yanga na si Simba
Good start.Jisaidie wewe kwanza kwa kuona mimi nafurahia story binafsi ya safari ya Mutale msimu huu na kusema wazi kuwa "ndiyo jambo pekee lililonifurahisha" na wewe kutafsiri maneno hayo kama nina stress na nashangilia na kushusha bar ya mafanikio ya Simba.