Jambo linalonitia hofu kuu, Msaada wako muhimu

baba bora

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
1,500
Reaction score
1,096
Salaam

Imekuwa Kawaida kwangu mwili kusisimka Yani kama nimemwagiwa maji ya baridi Nikipita maeneo baadhi

Zaidi ya Mara tano nikiwa kwenye mizunguko najikuta nafika sehemu nguvu za kuendelea sina nageuza bila kufika nilipo kuwa naenda tena Sio kwa hiyari na jikuta tu nimegeuza

Nimejaribu kuulizia kwa ndugu Jamaa nao hawana majibu. Kwanini iwe hivyo

Jf kuna Wataalamu kila Aina mnisaidie

Cc mshana Jr
 
Hapo ongea na mshana jr akupeleke kwa sangoma utapata jibu
 
Mkuu unahali tatanishi sn, sema ukweli ,, usifichefiche utajapotea angali umri bado mdogo,, Hali hio inakufikia hasa nyakati gani??" je unapo jikuta unageuka nakurudi ulikotoka kunakuwepo na hali gani ktk fikra au akilini? Je huwa unakoelekea ni mahali salama ua unajikuta unaelekea pasipo julikana, misili ya mtu alie changanyikiwa??" bahati mbaya sana huwa napo msikia mtu ana matatizo huwa napatwa na huruma sana, Mi nikuombe ila mi sio dr.wala sina taaluma yeyote ila naomba niongee na wewe japo maneno machache sana juu ya tatizo lako kupita 0765 45 66 85" muda wowote ule
 
Salaam

Imekuwa Kawaida kwangu mwili kusisimka Yani kama nimemwagiwa maji ya baridi Nikipita maeneo baadhi

Zaidi ya Mara tano nikiwa kwenye mizunguko najikuta nafika sehemu nguvu za kuendelea sina nageuza bila kufika nilipo kuwa naenda tena Sio kwa hiyari na jikuta tu nimegeuza

Nimejaribu kuulizia kwa ndugu Jamaa nao hawana majibu. Kwanini iwe hivyo

Jf kuna Wataalamu kila Aina mnisaidie

Cc mshana Jr
Kusisimka mwili sio maradhi hata mimi huwa inanitokea na wakati mwengine nikisisimka vinatoka kama vijipele kwenye sehemu niliyo sisimka kwa muda, kisha vinapotea ni mzunguko wa damu unavyo pita ndani ya msihipa yako ndio unao kufanya upate kusisimka. Sio maradhi au ugonjwa wowote ule ni kawaida ya mwili wako.Ni Jinsi damu inavyozunguka ndani ya msihipa yako ondosha wasiwasi.
 
Mkuu unahali tatanishi sn, sema ukweli ,, usifichefiche utajapotea angali umri bado mdogo,, Hali hio inakufikia hasa nyakati gani??" je unapo jikuta unageuka nakurudi ulikotoka kunakuwepo na hali gani ktk fikra au akilini? Je huwa unakoelekea ni mahali salama ua unajikuta unaelekea pasipo julikana, misili ya mtu alie changanyikiwa??" bahati mbaya sana huwa napo msikia mtu ana matatizo huwa napatwa na huruma sana, Mi nikuombe ila mi sio dr.wala sina taaluma yeyote ila naomba niongee na wewe japo maneno machache sana juu ya tatizo lako kupita 0765 45 66 85" muda wowote ule
Mara nyingi Usiku.. Huwa na rudi nilikotokea.. Asante nda kutafuta
 
Kusisimka mwili sio maradhi hata mimi huwa inanitokea na wakati mwengine nikisisimka vinatoka kama vijipele kwenye sehemu niliyo sisimka kwa muda, kisha vinapotea ni mzunguko wa damu unavyo pita ndani ya msihipa yako ndio unao kufanya upate kusisimka. Sio maradhi au ugonjwa wowote ule ni kawaida ya mwili wako.Ni Jinsi damu inavyozunguka ndani ya msihipa yako ondosha wasiwasi.
Asante Sana ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom