oyeiko ngeleja
Member
- Oct 16, 2013
- 58
- 39
Prof.Issa Ghulamhussein Shivji sijui amepatwa na nini siku hizi.Hakumbuki alichokisema;hasema anachokikumbuka.Mambo shaghalabaghala. Alaaniwe anayechangia mabadiliko haya yasiyovutia ya Prof. Shivji!
shivji mwenyewe akiona hii cartoon lazima acheke sana
Heshima ya Prof Shivji haiwezi kushushwa kirahisi namna hiyoAtacheka au atalia? Maana heshima yake imeshuka ghafla.
Nani kwa kumlinganisha na shivji kwenye uga wa sheria hapa nchini?Nampongeza sana mwanasheria makini issa shivji
Umemsahau na profesa kulikoyela Kahigihivi kwa nini kila uchao jina la profesa linakuwa kama tusi?
maji marefu,kuna profesa mwingine anaosha magari pale hospitali ya mkoa wa dodoma,profesa shivji,profesa mama wa dili la kigamboni,profesa juma kapuya,profesa jumanne maghembe nk.
yaani nikifikia hicho cheo naruka bora nibaki na jina langu au nikaitwa ndugu kama nyerere.