Jambo limezua jambo

Jambo limezua jambo

Joined
Oct 16, 2013
Posts
58
Reaction score
39
Mjadala alioendesha Shivji ulilipiwa na CCM,kabla ya mdajala alionekana akiwa katika kikao na viongozi wandamizi wa CCM,mkakati mpya wa CCM kuvuruga mbunge ndani ya wiki mbili zijazo ili Tanganyika huru isipatikane,wanaharakati tumejipanga kufanya mandamano ya kufunga jiji zima.
 

Attachments

  • 1396420974518.jpg
    1396420974518.jpg
    16.6 KB · Views: 3,553
Prof.Issa Ghulamhussein Shivji sijui amepatwa na nini siku hizi.Hakumbuki alichokisema;hasemi anachokikumbuka.Mambo shaghalabaghala. Alaaniwe anayechangia mabadiliko haya yasiyovutia ya Prof. Shivji!
 
Huyu mzee ni janja balaa!
Nilimsoma tangu chuo. Yaani akiwa anaongea mbele ya wanachuo, anakua KIHARAKATI zaidi. Akiongea kiserikaliserikali anakua ki-MFUMO(SYSTEM) zaidi. Akiongea na jamii ya ki-CHADEMA, anakua ki-HOT POLITICS zaidi. Akiongea na hadhira ya CCM, anakua ki-FIKRA ZA UTAWALA ZAIDI.
Au ni uzee!
 
Anaogopa atavuliwa uraia umri ule ataenda kuanzia wapi.teh teh teh
Prof.Issa Ghulamhussein Shivji sijui amepatwa na nini siku hizi.Hakumbuki alichokisema;hasema anachokikumbuka.Mambo shaghalabaghala. Alaaniwe anayechangia mabadiliko haya yasiyovutia ya Prof. Shivji!
 
huyo shivji siku hizi amekuwa kibaraka. na naamini ataandamwa sana na magazeti kwa kauli yake kuwa tanzania hakuna magazeti bali KUNA VIPEPERUSHI. lakini kama vile kuna kaukweli kwenye kauli hii.
 
hivi kwa nini kila uchao jina la profesa linakuwa kama tusi?
maji marefu,kuna profesa mwingine anaosha magari pale hospitali ya mkoa wa dodoma,profesa shivji,profesa mama wa dili la kigamboni,profesa juma kapuya,profesa jumanne maghembe nk.
yaani nikifikia hicho cheo naruka bora nibaki na jina langu au nikaitwa ndugu kama nyerere.
 
Mnataka msikie mnayoyapenda, yanayowafurahsha tu? Kimsingi hakuna serikali tatu hapa....hata kwa damu
 
Nampongeza sana mwanasheria makini issa shivji
 
hivi kwa nini kila uchao jina la profesa linakuwa kama tusi?
maji marefu,kuna profesa mwingine anaosha magari pale hospitali ya mkoa wa dodoma,profesa shivji,profesa mama wa dili la kigamboni,profesa juma kapuya,profesa jumanne maghembe nk.
yaani nikifikia hicho cheo naruka bora nibaki na jina langu au nikaitwa ndugu kama nyerere.
Umemsahau na profesa kulikoyela Kahigi
 
Back
Top Bottom