Mwanaume mwenye kujitambua siku hizi hagawi hovyo mpini wake. Huyo rijali ni kutoa doze ya kutosha kwa yule wake sio wale wake. Unawaza kuwa nao wengi kumbe wanakucheka na kuambiana kuwa weye ni wa kuchunwa tu. Si lolote, rijali atotoe hana hata kifaranga alicho totolesha akasingiziwa naye huyo rijali jamanii