JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Wana mtwara wamechochewa na wanasiasa, sio akili yao ile
Hakuna kitu kama hicho,machafuko mengine yametokea usiku wa jana huko msimbati,
unasomaje gaezi la habari leo na kusikiliza Tbccm?
Soma nipashe upate habari yote...
Ngoma hii wataisoma mwaka huu...
Mkuu Mohamedi Mtoi, tunafanana sana kwenye kipengele hichotbc1 zaidi ya bunge na ze comedy sina kipindi kingine ninacho angalia.
Hata mkikesha Tanzania Daima kuandika uchochezi gesi itatoka Mtwara; hiyo ni rasimali ya Taifa hizo kelele zenu hazitaifanya serikali kuacha mikakati ya maendeleo; Mtwara ilikuwa haina kitu chochote cha maendeleo baada ya korosho kuanguka bei; walikula kwa hela za pamba; katani; tumbaku,almasi; kahawa na chai;kama wamesahau wakumbusheni; je leo na wasukuma; wabena; wagosi; wachaga na wanyamwezi wadai fadhila zao?Gazeti la jambo leo limeandika "Mtwara wakubali gesi itoke" wanasema ni baada ya jeshi la wananchi wa Tanzania kwenda kurejesha amani, salamu ya wana mtwara imebadilika kutoka "Gesi haitoki" hadii kuwa "Gesi inatoka".
CC THE BIG SHOW
Si walujifanya kubana haoooo wameachiiiaaa chezea Dola wewe nimesikitika wale Wabunge wapenda sifa za kukamatwa hatukuwaona wakikamatwa
Hata mkikesha Tanzania Daima kuandika uchochezi gesi itatoka Mtwara; hiyo ni rasimali ya Taifa hizo kelele zenu hazitaifanya serikali kuacha mikakati ya maendeleo; Mtwara ilikuwa haina kitu chochote cha maendeleo baada ya korosho kuanguka bei; walikula kwa hela za pamba; katani; tumbaku,almasi; kahawa na chai;kama wamesahau wakumbusheni; je leo na wasukuma; wabena; wagosi; wachaga na wanyamwezi wadai fadhila zao?
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
Mtwara ilikuwa haina kitu chochote cha maendeleo baada ya korosho kuanguka bei; walikula kwa hela za pamba; katani; tumbaku,almasi; kahawa na chai;kama wamesahau wakumbusheni; je leo na wasukuma; wabena; wagosi; wachaga na wanyamwezi wadai fadhila zao?
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
Hata mkikesha Tanzania Daima kuandika uchochezi gesi itatoka Mtwara; hiyo ni rasimali ya Taifa hizo kelele zenu hazitaifanya serikali kuacha mikakati ya maendeleo; Mtwara ilikuwa haina kitu chochote cha maendeleo baada ya korosho kuanguka bei; walikula kwa hela za pamba; katani; tumbaku,almasi; kahawa na chai;kama wamesahau wakumbusheni; je leo na wasukuma; wabena; wagosi; wachaga na wanyamwezi wadai fadhila zao?
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
nguvu ndiyo njia pekee kama watu wamechoka kuheshimiwa,jeshi na polisi endeleeni kuwanyoosha wahuni.
Uzuri ni kwamba unaandika haya ukiwa umejificha nyuma ya kibonye chako. Ungeitoa kauli hii ukiwa Mtwara ningekuelewa hasa kutokana na kauli yako ya kusema korosho imeanguka bei bila kugusa kiini cha bei kuanguka.
Ulivyo pimbi unadhan wana mtwara hawataki gesi itoke.
Ulivyo pimbi unadhan wana mtwara hawataki gesi itoke.
Hata mkikesha Tanzania Daima kuandika uchochezi gesi itatoka Mtwara; hiyo ni rasimali ya Taifa hizo kelele zenu hazitaifanya serikali kuacha mikakati ya maendeleo; Mtwara ilikuwa haina kitu chochote cha maendeleo baada ya korosho kuanguka bei; walikula kwa hela za pamba; katani; tumbaku,almasi; kahawa na chai;kama wamesahau wakumbusheni; je leo na wasukuma; wabena; wagosi; wachaga na wanyamwezi wadai fadhila zao?
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
Gazeti la jambo leo limeandika "Mtwara wakubali gesi itoke" wanasema ni baada ya jeshi la wananchi wa Tanzania kwenda kurejesha amani, salamu ya wana mtwara imebadilika kutoka "Gesi haitoki" hadii kuwa "Gesi inatoka".
CC THE BIG SHOW