Jambo la kwanza kufanya kujiokoa ukifumaniwa

Jambo la kwanza kufanya kujiokoa ukifumaniwa

Ukifumaniwa fanya hivi
Relax, halafu unaamka unamchapa mwenye demu vibao au ngumu kama tano halafu unasepa.
 
Nakubaliana naweye best way kudeal na fumanizi nikuwa na confidence tu usinyong'onyee.

Nilashashudia jamaa kumuingilia mkewe ndani akiliwa kiboga haku akiwa na njemba mbili za kwenda kutoa kichapo kufika ndani matusi aliyotulewa na mkewa jamaa aliishia kukaa chini na kuanza kulia tu. Njemba zikaishia kutoa macho tu kutizama tukio.
 
Back
Top Bottom