Jambo la kwanza kufanya kujiokoa ukifumaniwa

Jambo la kwanza kufanya kujiokoa ukifumaniwa

Mtaalam wa masuala ya mapenzi James Johnson kutoka Marekani amependekeza mambo 10 unayoweza kufanya baada ya kubaini kuwa mpenzi wako amekusaliti.



1. Kubaliana na kilichotokea

Kama kishakusaliti ni tukio ambao limeshatokea na haliwezi kufutika. Kubali kuwa umetendwa, huzunika lakini mwisho liache lipite ili uweze kujipanga upya.



2. Usijilaumu

Wapo ambao wakishasalitiwa hujuta kukubali kuingia kwenye uhusiano na watu waliowatenda. Utamsikia mtu akisema ‘najuta kumkubalia awe mpenzi wangu’. Kujilaumu kwa namna hiyo hukutakiwi kwani kutakufanya uzidi kunyong’onyea.



3. Jitoe

Jifanye kama vile aliyesalitiwa siyo wewe bali ni rafiki yako kisha jiulize ungemshaurije? Ushauri ambao ungempata basi uchukue kisha uufanyie kazi.



4. Pima ulivyoathirika

Je, kitendo cha mpenzi wako kukusaliti kimekukosesha imani juu yake? Kama ni hivyo, unadhani una sababu ya kuendelea kuwa naye au unahisi madhara aliyokupatia huwezi kumvumilia?



5. Mpasulie ukweli

Kwa vyovyote utakavyoamua ni lazima umweleze juu namna alivyokuumiza kwa usaliti wake. Hata kama utampa nafasi nyingine lazima ajue jinsi alivyokuumiza ili iwe changamoto kwake.



6. Chunguza kwa nini kakusaliti

Usiliache likapita hivi hivi, unatakiwa kujua sababu ya yeye kukusaliti. Je, kuna ambacho anakikosa kwako au ni tamaa zake tu? Jibu utakalolipata litakusaidia katika maisha yako ya kimapenzi.



7. Usikubali akulainishe

Huenda huyo mpenzi wako ni ‘msanii’ na anaweza kukulainisha kwa maneno ambayo yanaweza kukufanya ukalichukulia tukio hilo kiurahisi. Kuwa na msimamo na eleza hisia zako kwa uwazi.



8. Amua kusuka au kunyoa

Likishatokea hilo jaribu kuzungumza na moyo wako. Uamuzi wa kuendelea kuwa naye au kumuacha uuchukue bila shinikizo. Hata kama kakuumiza, kama unadhani unaweza kumpa nafasi nyingine mpe ili usije ukajuta baadaye kwa kumkosa lakini kama unaona moyo wako unamkataa, muache.



9. Msamehe

Kwa uamuzi wowote utakaochukua ni lazima uwe tayari kumsamehe ili kuliondoa dukuduku lako rohoni. Kutokumsamehe kunaweza kukufanya ukawa unaumia kila wakati na kukosa amani.



10. Iwe fundisho kwako

Chukulia tukio hilo kama fundisho kwako. Huenda wewe ndiye uliyechangia kusalitiwa, kama ni hivyo badilika ili yasije yakakukuta kama hayo utakapokuwa na mwingine. Pia kama kusalitiwa kumetokana na kutoridhika kwa mpenzi wako, kuwa makini wakati wa kuchagua mwingine wa kuwa naye.
 
najua watu wengi hapa , hudanganywa katika mahusiano,
hebu tuone ni jambo gani utafanya unapofumaniwa na mtu wako, USIPANIKI YACHUKULIE YA KAWAIDA SAANA , JIAMINI
hapa kuna aina mbili

1. UKIFUMANIWA UNATEMBEA NA MKE WA MTU

hatua ya kwanza usishtuke, wala kuwa na papara ya kujificha , muangalie mme wa demu unayeiba , kwa hali ya kawaida,

sema maneno haya matatu tu yataweza kumlegeza,
A. wanawake mbona hamfadhiriki sasa nini kuniletea wanaume mpaka hapa ina maana wewe ni malaya kiasi iki kumbe una mme mwingine,
Anza kumtia mabanzi seriouse mwanamke huyo. tena ya ukweli sana, mme wake ataingilia kuamua na kusema haa hapo tuongee tuyamalize kabisa maana wanawake hawaaminiki, usikubali paniki kabisa mchenjie hata mme wake mwambie kwamba yaan mi nimgharamie alafu unakuja eti tuongee huu upuuzi kabisa, yaan pale kuwa ji entitle kama demu alikuwa wako kweli kumbe unaiba,

B. Ukiona anaingia mlipo nyanyua simu piga kwa washikaji hata kwa kuzuga sema " hallo yule nyangau anayekulaga demu si kajileta mwenyewe hivi mko hapo karibu? njoo na zana zote aisee" alafu elekea mlangoni funga mlango kabisa, mme mbona atakuwa mdogo tu hahaha

ALAFU MWAMBIE HEBU NIPASIE HIYO SURUALI HAPO JUU NI VAE UKU UMELALA KITANDANI , YAANI UNAMTUMA AKUPE SURUALI ILIYOTUNDIKWA JUU

2. KAMA WE NI MWANAMKE UKAFUMANIWA UNATEMBEA NA MME WA MTU, yaan ukafumaniwa na mke mwingine, hapo hakunaga shida sana, kwanza mtie makofi ya ukweli mwanaume alafu mkunje hata huyo mke jifanye kukasirika, yaan usiwe muoga , simama kidete, mwambie kuwa kumbe we ndo paka shume waiba waume za watu, simama jifunge vizuri kwa timbwili, alafu mme atasimama kuingilia kati, akiingilia tu jifanye unaondoka kwa kususa kwamba kumbe ndo zako una wanawake wengi sana kiasi hiki,sasa sitaki unitafte tena, timua kiujanja.


ISHU INAKUJA PALE UNAPOFUMANIWA NA MMEO AU MKEO,

HAPA ONESHA DHARAU KUEPUSHA NGUMI ZA PALE, SEMA KWAMBA KUNA YALIYOKUSHINDA NDO MAANA NIKAJA KWA HUYU,



DATE ON YOUR OWN RISK
Jamaa sikuizi wakikuta na mke wamtu wanakukula mrabaha tu wanakupiga picha wanakuacha wanaenda kuzisambaza. Sikuizi hakuna cha fumanizi
 
Najua watu wengi hapa, hudanganywa katika mahusiano, hebu tuone ni jambo gani utafanya unapofumaniwa na mtu wako, USIPANIKI YACHUKULIE YA KAWAIDA SANA , JIAMINI
hapa kuna aina mbili

1. UKIFUMANIWA UNATEMBEA NA MKE WA MTU

Hatua ya kwanza usishtuke, wala kuwa na papara ya kujificha , muangalie mme wa demu unayeiba , kwa hali ya kawaida,

Sema maneno haya matatu tu yataweza kumlegeza,
A. wanawake mbona hamfadhiriki sasa nini kuniletea wanaume mpaka hapa ina maana wewe ni malaya kiasi iki kumbe una mme mwingine,
Anza kumtia mabanzi seriouse mwanamke huyo. tena ya ukweli sana, mme wake ataingilia kuamua na kusema haa hapo tuongee tuyamalize kabisa maana wanawake hawaaminiki, usikubali paniki kabisa mchenjie hata mme wake mwambie kwamba yaan mi nimgharamie alafu unakuja eti tuongee huu upuuzi kabisa, yaan pale kuwa ji entitle kama demu alikuwa wako kweli kumbe unaiba,

B. Ukiona anaingia mlipo nyanyua simu piga kwa washikaji hata kwa kuzuga sema " hallo yule nyangau anayekulaga demu si kajileta mwenyewe hivi mko hapo karibu? njoo na zana zote aisee" alafu elekea mlangoni funga mlango kabisa, mme mbona atakuwa mdogo tu hahaha

ALAFU MWAMBIE HEBU NIPASIE HIYO SURUALI HAPO JUU NI VAE UKU UMELALA KITANDANI , YAANI UNAMTUMA AKUPE SURUALI ILIYOTUNDIKWA JUU

2. KAMA WE NI MWANAMKE UKAFUMANIWA UNATEMBEA NA MME WA MTU, yaan ukafumaniwa na mke mwingine, hapo hakunaga shida sana, kwanza mtie makofi ya ukweli mwanaume alafu mkunje hata huyo mke jifanye kukasirika, yaan usiwe muoga , simama kidete, mwambie kuwa kumbe we ndo paka shume waiba waume za watu, simama jifunge vizuri kwa timbwili, alafu mme atasimama kuingilia kati, akiingilia tu jifanye unaondoka kwa kususa kwamba kumbe ndo zako una wanawake wengi sana kiasi hiki,sasa sitaki unitafte tena, timua kiujanja.


ISHU INAKUJA PALE UNAPOFUMANIWA NA MMEO AU MKEO,

HAPA ONESHA DHARAU KUEPUSHA NGUMI ZA PALE, SEMA KWAMBA KUNA YALIYOKUSHINDA NDO MAANA NIKAJA KWA HUYU,



DATE ON YOUR OWN RISK
Date for your own risk
 
kwa unachowafunza wenzio,una moyo wa ajabu sana haijapata kutokea aisee
 
Kabla hujafumaniwa hakikisha , una nguvu ( pesa ).

Kabla ya kugegeda hakikisha hotel/loj mlipo Umekagua nakuhakikisha ina emergency exist ..hakikisha mpaka chumba kina emergency exist .

Sio unaingia loj ,,madirisha ni ya chuma,,alafu masikin ,,utakutwa umekufa na mbooo watu wameondoka naye nakabla ya kukuua wamekufira..

Ukijua nimke wamtu hakikisha hayo juu umeyaweka kichwani.
 
Siyo rahisi hivyo kama unavyodhania...


Wengi waliyofumaniwa wamishia pabaya sana...


Cc: mahondaw
 
DATE AT YOUR OWN RISK nafikiri ndio ushauri pekee hapa hayo mengine ni maujinga tu
 
Back
Top Bottom