Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Amanikwanzaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2023
Posts
253
Reaction score
464
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
 
Attachments

  • IMG_1599.MP4
    12.5 MB
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Mkuu.., kwani wew unashaurije kwa yanayoendelea. Mfano TPA inaongozwa na Mzanzibar kwa sas, Waziri wa Wizara husika na Katibu wake niwazanzibar.

Mwenye asili ya Tanganyika na mwenye kuthamin rasilimali zetu kwa ajili ya kizazi kilichopo nakijacho, kwa yanayoendelea lazima uwe mkali.
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.

Umeandika lakini hapo Kati umekosea Tena unatakiwa kuomba radhi kwa Mola wako.
Unaposema eti nanukuu
"Elewa hatima iliyompa Urais ndio ilikupa Uhai wewe"
Acha hizo kwani huo urais Kuna manzanita alipiga kura au alipewa kwa nguvu ya dola na Katiba mbovu inayotupiga kila kukicha.
Futa kauli yako.
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Hawawezi kukuelewa hao wasio na maadili.

Lussu apelekwe hospitali ya vichaa kwa nguvu za dola awekwe pale miezi mitatu achunguzwe hali yake.

Huyo ni hatari sana kwa usalama wa Watanzania.
 
Huku ndiko kuishiwa mawazo haswaa unawaza uzanzibar na utanganyika kwenye nchi hii yenye ujamaa?

Hivi kesho ukipata utanganyika si utaanza kudai uchaga na uzaramo?.. bulshit [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…