KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,202
- 69,274
Habari zenu wana jf....?
Ulishawahi kujifikiria upo sehemu isiyonakitu..?
Utawezaje kupata kitu mahali pasipo na kitu chochote..?
Kikubwa nachotaka kukizungumzia hapa ni kuhusu mazingira..!!
Ni jambo la kukumbushana tu kuyajari mazingira yetu ndio ufalme wetu.
Hebu fikiria nguo,technolojia,vyombo,chakula,hewa n.k hivi vyote tunavipata ktk mazingira na vinatusaidia sana ktk maisha yetu..
Tunahitaji sana kuyatunza mazingira yetu ili yatutunze lkn kumbuka kwenye mazingira hata usipokuwepo wewe yenyewe yatakuwepo ila mazingira yasipokuwepo huwenda tusinge kuwepo coz wapi tungelipata hewa,chakula na n.k
Ni jambo la kukumbushana tu hebu tuyatunze mazingira yetu kwa ajili yetu na kwa vizazi vijavyo.
Yangu ni hayo tu wadau..