Jambo la ajabu laweza kutokea Dodoma July 23, 2016

Jambo la ajabu laweza kutokea Dodoma July 23, 2016

Kwa mara ya Kwanza Tangu CCM waanze Utaratibu wa Rais aliyepita Kumkabidhi Rais aliyepo Madarakani Uwenyekiti, Kuna Uwezekano, Usio wa Kupuuza hata Kidogo wa Kura za Kumpa Mh. Magufuli Uwenyekiti wa Taifa wa CCM Zisitoshe.

Watu Wengi Wanamkomalia Mh Dkt J. Kikwete amkabidhi Dkt JPM Uwenyekiti, Lakini haiendi hivyo mkutano Mkuu unaamua kwa Kura, na Ndio Maana nafikiri Wajumbe wote Karibu 2300 wameitwa. Ila Nafikiri Safari Hii CCM wanatakiwa waheshimu sana Finality ya Kura hata Zikiwa Kinyume na Walivyozoea Miaka yote.
Unajidanganya. Pole sana
 
Kura zipo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba yao. Ila mtoa mada hoja yake ni kuwa kwa hali hii inayoendelea jee kwa kura 2300 za wajumbe akiambulia 300 tuu na wakalazimisha apewe tuu ushindi chama kitakuwa katika hali gani?
Kwani mwenyekiti wa CHADEMA alipigiwa kura lini ?
 
Kura za JMK tu, tena akiwa ameshakuwa Mwenyekiti kwa Miaka Mitano Walilia sana itakuwa Huyu anayewapelekesha kama Watoto? Au kwa Vile CCM hawawezi Kuongea hadharani?
Kama Huamini Ni Mbinde Msikilize Y. Makamba akilia Kumwombea JK Kura tena Baada ya JK Kuwa Mwenyekiti 5yrs.

Hivi huko Dodoma katika zama hizi atapatikana mwenye ushawishi kama huyu Mzee Makamba?
 
Kwa mara ya Kwanza Tangu CCM waanze Utaratibu wa Rais aliyepita Kumkabidhi Rais aliyepo Madarakani Uwenyekiti, Kuna Uwezekano, Usio wa Kupuuza hata Kidogo wa Kura za Kumpa Mh. Magufuli Uwenyekiti wa Taifa wa CCM Zisitoshe.

Watu Wengi Wanamkomalia Mh Dkt J. Kikwete amkabidhi Dkt JPM Uwenyekiti, Lakini haiendi hivyo mkutano Mkuu unaamua kwa Kura, na Ndio Maana nafikiri Wajumbe wote Karibu 2300 wameitwa. Ila Nafikiri Safari Hii CCM wanatakiwa waheshimu sana Finality ya Kura hata Zikiwa Kinyume na Walivyozoea Miaka yote.
Dua la kuku,hivi inawajua ccm au unawaona tu
Ni chama chenye mikakati na nidhamu ya juu
Magufuli atachukua chama,kwa kura 99%
 
Wazee wa figisufigisu mmeanza...sidhani kama itakuwa hivyo...JPM ndiye Mwenyekiti mpya wa CCM baada ya Mkutano huo...You mark my words, hakuna anticlockwise hapa...
 
Dua la kuku,hivi inawajua ccm au unawaona tu
Ni chama chenye mikakati na nidhamu ya juu
Magufuli atachukua chama,kwa kura 99%
ni kweli kabisa,mikakati ya kuhakikisha kura za 'hapana' zinachakachuliwa ziwe za 'ndio' ili kuficha aibu ya chama!
 
Kura za JMK tu, tena akiwa ameshakuwa Mwenyekiti kwa Miaka Mitano Walilia sana itakuwa Huyu anayewapelekesha kama Watoto? Au kwa Vile CCM hawawezi Kuongea hadharani?
Kama Huamini Ni Mbinde Msikilize Y. Makamba akilia Kumwombea JK Kura tena Baada ya JK Kuwa Mwenyekiti 5yrs.

Hotuba ya Kihistoria kwa kweli.
 
I really don't care, Nimetoa tu mtazamo kulingana na hali halisi ya Wajumbe wa CCM kwa sasa, Na sio Mimi Pekee naona Mashaka haya!
 
Kwani CCM wana tume huru ya uchaguzi ndani ya chama? Rais hata akipata kura 0, lazima awe mwenyekiti.
 
You think that everyone is like that make your mother sends him to sell his ass to cause your sex CCM is now Value(Kwa siyo elewa kispanish hiyo ndiyo tafsli yake) Ila ukweli ndo huo you're too cheap for me nothing i can add.But if i wl'd to screw you..now it might you are preg.
Wewe Kenge mjanzito, Spanish haitafsiriwi meno moja moja hivyo, Acha Kuruka usije Ukajitolea Msaada. Nilichokujibu Baada ya Kunitusi ati Nina "Mshindo" Nilikujibu, Kwa Spanish na Nakutafsiria, Do not assume every one is like you cause your mom sent you to sell your ass to CCM, since her ...... is so beaten up and has no Value! (Other wise she could sell herself and spare your ass for the future use!)
Nisameheni sana Wasomaji Wa hapa, Kuna Vijachaa wanaotumwa Kuja Kutukana watu na Kuwatisha Kwa Kejeli na Matusi, Ili ati Kuwanyamazisha. Wengine Ni walewale waliokuwa Wanamtukana Lowassa ni Mfu Mtarajiwa, Kajinyea etc. Sasa dawa ya Moto Ni Moto I do not let them get away. Nimeshawakomesha Kabisa Karibu watano na Wanajijua wanachokifanya.

Mpumbavu huyu, anathubutu Kuniita Cheap, wakati Yeye Ndiye aliianza Vimatusi Uchwara. Mimi Ni Mstaarabu, Lakini Pia Ukininileta Uhuni Mnaotumwa utalia wewe. Ukinirushia Jiwe Mimi Napiga Nuclear.

Wakuu, Bila sababu yoyote Huyu Bwana Haya Ni Matusi aliyonitukana

"Utakuwa nyumba ndogo ya ccm maana uho mshindo ulionao ccm pekee hawawezi kuumaliza"
 
Anaenda kukabidhiwa chama nyie jiandaeni kisaikolojia tu.
 
Back
Top Bottom