Jambo la ajabu laweza kutokea Dodoma July 23, 2016

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,815
Kwa mara ya Kwanza Tangu CCM waanze Utaratibu wa Rais aliyepita Kumkabidhi Rais aliyepo Madarakani Uwenyekiti, Kuna Uwezekano, Usio wa Kupuuza hata Kidogo wa Kura za Kumpa Mh. Magufuli Uwenyekiti wa Taifa wa CCM Zisitoshe.

Watu Wengi Wanamkomalia Mh Dkt J. Kikwete amkabidhi Dkt JPM Uwenyekiti, Lakini haiendi hivyo mkutano Mkuu unaamua kwa Kura, na Ndio Maana nafikiri Wajumbe wote Karibu 2300 wameitwa. Ila Nafikiri Safari Hii CCM wanatakiwa waheshimu sana Finality ya Kura hata Zikiwa Kinyume na Walivyozoea Miaka yote.
 
NDOTO YA CHIZI
 
IQ=0
 
Sidhan km kuna kura kwani hagombei na mtu yeyotee.

Hata km kura ikiwepo lazima apewe uenyekiti.
Kura zipo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba yao. Ila mtoa mada hoja yake ni kuwa kwa hali hii inayoendelea jee kwa kura 2300 za wajumbe akiambulia 300 tuu na wakalazimisha apewe tuu ushindi chama kitakuwa katika hali gani?
 
.... Kuna Uwezekano, Usio wa Kupuuza hata Kidogo wa Kura za Kumpa Mh. Magufuli Uwenyekiti wa Taifa wa CCM Zisitoshe.
... Ila Nafikiri Safari Hii CCM wanatakiwa waheshimu sana Finality ya Kura hata Zikiwa Kinyume na Walivyozoea Miaka yote.
Zisipotosha zitaibwa tu kabla ya kutangazwa, na atakayepinga matokeo atakiona cha moto!
 
No dear!
Hawa Wajamaa hawa
110px-Mensa_logo.svg.png
walinihakikishia IQ yangu ni 148, sasa ulisema wewe Unaitwa nani? Kibajaji au binamu yake! 😡
 
Kura za JMK tu, tena akiwa ameshakuwa Mwenyekiti kwa Miaka Mitano Walilia sana itakuwa Huyu anayewapelekesha kama Watoto? Au kwa Vile CCM hawawezi Kuongea hadharani?
Kama Huamini Ni Mbinde Msikilize Y. Makamba akilia Kumwombea JK Kura tena Baada ya JK Kuwa Mwenyekiti 5yrs.
 
Back
Top Bottom