Jambo la ajabu laweza kutokea Dodoma July 23, 2016

Jambo la ajabu laweza kutokea Dodoma July 23, 2016

Utaratibu ulivyo hatagombea na mtu mwingine kwahiyo watakaoteuliwa kuhesabu kura hawatajisumbua kuhesabu kura wataandika matokeo kuwa JPM kapata kura 99.%
 
Kama waliweza kumuibia Seif watashindwa kujiibia wenyewe ili zitoshe?
 
Utakuwa nyumba ndogo ya ccm maana uho mshindo ulionao ccm pekee hawawezi kuumaliza
Usted piensa que todo el mundo es como que hacen que su madre le envía a vender su culo al CCM causar que su sexo queda ahora les Valor
 
Utaratibu ulivyo hatagombea na mtu mwingine kwahiyo watakaoteuliwa kuhesabu kura hawatajisumbua kuhesabu kura wataandika matokeo kuwa JPM kapata kura 99.%
Utaratibu huo labda wa nyumbani kwako. Chama chetu safari hii tumeamua kufata maelekezo ya katiba. Kwa hiyo tumeona habari ya kuachiana ni kukiuka katiba yetu wenyewe. Kila mwanachama mwenye sifa ya kugombea anayo haki ya kufanya hivyo.
 
"hapa tutamnuku mwl.jkn"
Rais ni vyema akawa mwekekiti wa chama./ la sivyo watakapo kosana wawili hawa......./
 
"hapa tutamnuku mwl.jkn"
Rais ni vyema akawa mwekekiti wa chama./ la sivyo watakapo kosana wawili hawa......./
 
Kwa mara ya Kwanza Tangu CCM waanze Utaratibu wa Rais aliyepita Kumkabidhi Rais aliyepo Madarakani Uwenyekiti, Kuna Uwezekano, Usio wa Kupuuza hata Kidogo wa Kura za Kumpa Mh. Magufuli Uwenyekiti wa Taifa wa CCM Zisitoshe.

Watu Wengi Wanamkomalia Mh Dkt J. Kikwete amkabidhi Dkt JPM Uwenyekiti, Lakini haiendi hivyo mkutano Mkuu unaamua kwa Kura, na Ndio Maana nafikiri Wajumbe wote Karibu 2300 wameitwa. Ila Nafikiri Safari Hii CCM wanatakiwa waheshimu sana Finality ya Kura hata Zikiwa Kinyume na Walivyozoea Miaka yote.
Watatishwa hao mbona mnakuwa wepesi wa kusahau? hamjui taratibu za Lumumba, 1+1=1
 
Usted piensa que todo el mundo es como que hacen que su madre le envía a vender su culo al CCM causar que su sexo queda ahora les Valor
You think that everyone is like that make your mother sends him to sell his ass to cause your sex CCM is now Value(Kwa siyo elewa kispanish hiyo ndiyo tafsli yake) Ila ukweli ndo huo you're too cheap for me nothing i can add.But if i wl'd to screw you..now it might you are preg.
 
Wewe aliyekuambia CCM, wanatumia utaratibu wa kupigiana kura ni nani? At your age you should know that katika CCM wanajipanga. CCM ni chama dola sio cha kiasiasa. So hata Magufuli akipata 0 kwenye yale maonesho ya kupiga kura atakuwa mwenyekiti tu. Unataka CCM waheshimu kura wewe ni nani? Kama mwanaCCM subiri watu wakale wali Dodoma na kurudi. Na kama wewe ni mpinzani au huna chama cha siasa, waache CCM wafanye yao. Demokrasia kwenye vyama zitaanza 2030 hapa Tanzania
 
Yaani O kwa maana hata yeye atakuwa hataki kwenda kutumbua huko? Maana serikalini hakuna tena majipu yanayotumbulika kwa sasa. Lakini kule ni lukuki
 
Wewe unadhani lile zoezi alilofanya wakati wa ubaguzi ulikuwa ni utani au mchezo? Anayo stamina bado
 
Kiutamaduni wa chama haya ni makabidhiano ya uenyekiti si uchaguzi na KURA inayopigwa ni ya USHUHUDA tu
 
Mbona sasa mnamtafuta yule mchungaji....akati alijisemea ya moyoni tuu.
 
Anaenda kukabidhiwa chama na si kushiriki uchaguzi
 
Back
Top Bottom