Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
Ni kweli mkuu, atakuwa anaelekea huko anavyopenda pesa huyu mamamkuu uko serious kuna Posho?
Ngoja aje akujibu hapa...Daa naendelea kucheka utafikiri mazuri

Sawa kabisaMwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa.
Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote waliokimbia CCM akiwemo mzee Lowassa mwenyewe na kundi lake lowe wakiwemo Ole milya, Masha, Dr Mollel, Mgeja nk nk
Lakini pia Magufuli aliongeza mtaji kwa CCM kwa kuwapokea wanachama lukuki wa Chadema na ACT wazalendo waliounga mkono juhudi akiwemo Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji na mwenyekiti wa Bavicha Patrobas Katambi.
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Hahahaaaa...... sisi tunagonga mbege kupunguza maumivu ya kuzuiwa kumwona Mwamba!Ni kweli mkuu, atakuwa anaelekea huko anavyopenda pesa huyu mama
Akina mama wenzako wapo na Mhe wewe unalewaHahahaaaa...... sisi tunagonga mbege kupunguza maumivu ya kuzuiwa kumwona Mwamba!
Wale Magereza wametuvuruga sana manka!Akina mama wenzako wapo na Mhe wewe unalewa
Una hata nauli wewe maza?Wale Magereza wametuvuruga sana manka!
Na hichi ndicho kinacho wakera upinzani kuliko kitu chochote, CCM moja kwa kila mwanachama.Mwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa.
Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote waliokimbia CCM akiwemo mzee Lowassa mwenyewe na kundi lake lowe wakiwemo Ole milya, Masha, Dr Mollel, Mgeja nk nk
Lakini pia Magufuli aliongeza mtaji kwa CCM kwa kuwapokea wanachama lukuki wa Chadema na ACT wazalendo waliounga mkono juhudi akiwemo Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji na mwenyekiti wa Bavicha Patrobas Katambi.
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Unatafuta ugomvi na Msoga Gang! Wao Magufuli wanamuona kama mpinzani.Mwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa.
Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote waliokimbia CCM akiwemo mzee Lowassa mwenyewe na kundi lake lowe wakiwemo Ole milya, Masha, Dr Mollel, Mgeja nk nk
Lakini pia Magufuli aliongeza mtaji kwa CCM kwa kuwapokea wanachama lukuki wa Chadema na ACT wazalendo waliounga mkono juhudi akiwemo Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji na mwenyekiti wa Bavicha Patrobas Katambi.
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Mwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa.
Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote waliokimbia CCM akiwemo mzee Lowassa mwenyewe na kundi lake lowe wakiwemo Ole milya, Masha, Dr Mollel, Mgeja nk nk
Lakini pia Magufuli aliongeza mtaji kwa CCM kwa kuwapokea wanachama lukuki wa Chadema na ACT wazalendo waliounga mkono juhudi akiwemo Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji na mwenyekiti wa Bavicha Patrobas Katambi.
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Kama ccm ni imara basi hebu tuwe na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ndo nitakubaliana na maoni yako ukweli ccm ilishakufa zaman kwa ss inalindwa na plc ccmMwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa.