Jambo hili ni la kuzingatia: Ukiona mtu amenusurika kufa katika tukio la kufyatuliwa risasi zaidi ya thelathini ujue liko jambo la Mungu linaendelea

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
2,955
5,877
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi kwa uzoefu wangu mdogo wa kusoma maandiko matakatifu kwa habari ya mambo ya rohoni, nimekutana na visa kadhaa vya watu ambao shetani alitaka/alitamani kuwaangamiza kwa sababu shetani aliona watu hao wakiwa wamebeba kusudi kubwa la Mungu, hivyo ibilisi huwa anataka kulifutilia mbali kusudi la Mungu.

Kwa uchache niwataje wachache.

YUSUFU - huyu shetani aliwatumia ndugu zake na Yusufu kutaka kumwangamiza. Lakini kwa vile Yusufu alikuwa amelibeba kusudi la Mungu, ndugu zake hawakufanikiwa kumuua, waliishia kumuuza Misri ambapo baadaye alikuja kuwa mtu mkubwa sana na kufanyika msaada mkubwa si kwa ndugu zake tu, bali kwa taifa zima la Israeli kwa ujumla. Huyu ndiye alieendeleza ma-Agano kati ya Mungu na Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

MUSA -
Huyu alipozaliwa tu, shetani alimuwinda amuue kupitia mfalme wa Misri (Farao). Shetani aliandaa mpango mzima wa kumuangamiza Musa kwa kutangaza kuuawa kwa watoto wote wa kiume wa Kiebrania, lakini kwa muujiza mkuu Musa alipona na kupata hifadhi katika Kasri la mfalme na akakulia kwa waliotaka kumuua. Huu ni muujiza wa Mungu. Ndiye baadaye aliyekabidhiwa Torati, na pia alipewa na Mungu jukumu la kuwatoa wana-Israeli utumwani Misri.

YESU MNAZARETI -
Mara tu baada ya Yesu kuzaliwa huko Bethlehemu, shetani kama kawaida yake alitaka amwangamize Yesu kabla mpango wa Mungu juu yake kutimia. Ibilisi alimtumia Herode na akatangaza kuwaua watoto wote wa kiume wa chini ya miaka miwili. Lengo likiwa ni kumwangamiza Yesu. Jaribio hili pia lilishindikana kwa kuwa shetani hana uwezo wa kulizuia kusudi la Mungu. Na hivyo mpango wa Mungu wa kumleta Yesu ulitimia, na ulipotimia ndipo akaondoka zake.

UKIONA MTU ANAKOSWAKOSWA KUUAWA KATIKA HALI YA KUMIMINIWA RISASI NYINGI VILE UJUE SHETANI AMESHINDWA KUTIMIZA KUSUDI LAKE LA KUTAKA KUPINGANA NA KUSUDI LA MUNGU. MIPANGO YA MUNGU NI ZAIDI YA MIPANGO YA SHETANI. Ibilisi ni wa kushindwa tu siku zote.
 
Hivi hamjuagi watu wanachanjia wasidhyrike na Vitu vyenye ncha kali.
Au mnadhani watu wanajitoa kimasomaso kirahisi rahisi tu
 
Magufuli anayejifanya mcha Mungu, angejua ukweli huu, angejitoa kwenye kinyang'anyiro cha URAIS. La sivyo, maono hayajamfikia na ni wakala wa shetani. Ngoja aadhirike. Bukoba imeshamwashia indiketa.
 
mbona zanzibar wan marais wastaarabu na wenye utu kw watu wao,
ila hili limekaa sijui kama dubwasha gan,
yaan hovyo hovyo tuu
 
Mchana alizamishwa ,cha ajabu siku ya hamaki pia alizama moja mbili tatu kimbia wa mbali ndiye mshindi wa karibu ameanguka ,,mbaya ndiye mzuri na mzuri ndiye mbaya asanteni
 
Mungu aliye juu mbinguni 'YEHOVA" Hausiki na utawala pamoja na serikali ya dunia.. sio vizuri kuwatumia manabii na dini katika mambo ya siasa maana BIBLIA' Inachukia siasa.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi kwa uzoefu wangu mdogo wa kusoma maandiko matakatifu kwa habari ya mambo ya rohoni, nimekutana na visa kadhaa vya watu ambao shetani alitaka/alitamani kuwaangamiza kwa sababu shetani aliona watu hao wakiwa wamebeba kusudi kubwa la Mungu, hivyo ibilisi huwa anataka kulifutilia mbali kusudi la Mungu.

Kwa uchache niwataje wachache.

YUSUFU - huyu shetani aliwatumia ndugu zake na Yusufu kutaka kumwangamiza. Lakini kwa vile Yusufu alikuwa amelibeba kusudi la Mungu, ndugu zake hawakufanikiwa kumuua, waliishia kumuuza Misri ambapo baadaye alikuja kuwa mtu mkubwa sana na kufanyika msaada mkubwa si kwa ndugu zake tu, bali kwa taifa zima la Israeli kwa ujumla. Huyu ndiye alieendeleza ma-Agano kati ya Mungu na Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

MUSA - Huyu alipozaliwa tu, shetani alimuwinda amuue kupitia mfalme wa Misri (Farao). Shetani aliandaa mpango mzima wa kumuangamiza Musa kwa kutangaza kuuawa kwa watoto wote wa kiume wa Kiebrania, lakini kwa muujiza mkuu Musa alipona na kupata hifadhi katika Kasri la mfalme na akakulia kwa waliotaka kumuua. Huu ni muujiza wa Mungu. Ndiye baadaye aliyekabidhiwa Torati, na pia alipewa na Mungu jukumu la kuwatoa wana-Israeli utumwani Misri.

YESU MNAZARETI - Mara tu baada ya Yesu kuzaliwa huko Bethlehemu, shetani kama kawaida yake alitaka amwangamize Yesu kabla mpango wa Mungu juu yake kutimia. Ibilisi alimtumia Herode na akatangaza kuwaua watoto wote wa kiume wa chini ya miaka miwili. Lengo likiwa ni kumwangamiza Yesu. Jaribio hili pia lilishindikana kwa kuwa shetani hana uwezo wa kulizuia kusudi la Mungu. Na hivyo mpango wa Mungu wa kumleta Yesu ulitimia, na ulipotimia ndipo akaondoka zake.

UKIONA MTU ANAKOSWAKOSWA KUUAWA KATIKA HALI YA KUMIMINIWA RISASI NYINGI VILE UJUE SHETANI AMESHINDWA KUTIMIZA KUSUDI LAKE LA KUTAKA KUPINGANA NA KUSUDI LA MUNGU. MIPANGO YA MUNGU NI ZAIDI YA MIPANGO YA SHETANI. Ibilisi ni wa kushindwa tu siku zote.

Mungu ana makusudi mengi kwa sisi waja wake. Anaweza kukuonya kwa utukutu wako. Akakuingiza kwenye bonde la kifo kama Yonna ili kukuambia " mwanangu rudi unapotoka". Ndicho anachoambiwa Lissu. Sasa badala yake anaendelea kumkumbatia Ibilisi ili eti afanikishe malengo yake ya kisiasa. Nawahakikishia jamani Mungu wa mbinguni yuko na Tanzania yatakayofuata kwa Lissu yatashangaza. Yeye anategemea wanadamu wenye pesa eti ndio watafanikisha mambo yake ya kisiasa tena kwa kutunga uongo. Mungu hadhihakliwi hata siku moja. Jamani Lissu ataipata...
 
Vipi akina chifu mkwawa nao, vipi machifu walionyongwa,hebu niambie kuhusu wao, hapa Kuna darasazuri
 
Back
Top Bottom