Jambo hili linaweza kuleta shida kwenye ajira?

Jambo hili linaweza kuleta shida kwenye ajira?

Denice12

New Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari Wana forums,

Nina changamoto moja, niliitwa kufanya interview polisi kwa majina ya nida mfano Shabani ngosha Husein ila kwenye vyeti vyangu ni Shabani Husein ngosha.

Na selection limetoka jina la kwenye vyeti na kesho naripoti shule ya police.

Sasa nimefuatilia afdavit na deedpool. Nauliza hiyo haitaniletea shida kwenye usajiri?

Ahsanteniii!
 
Nenda mahakamani kachukue kiapo kubali kuwa majina yote n yako. Ukisema uanze kubadili na mda hauna itakuchukua muda.. nakala ya kiapo nenda nayo ya uthibitish kuwa majina yote n ya kwako
 
Back
Top Bottom