napenda sana kuwa huru lakin suala lakuonana nae ni gumu coz niliambiwa alihama mkoa kikaz.
Alolianzisha gomvi wewe au yeye?
hujataka tu kuwasiliana nae, manake huwez kuyakosa ukiamua
kila kitu kinatibiwa na muda
sasa hutaki wasiliana nae!! unadhani hiyo hali itaisha lii na kivipi?? yah najua ni vigumu lakin ndo hamna jinsi,jitahidi!!!!japo cna aman lakin ctak kuwasiliana nae kabisa.
real ssta japo cna aman lakin ctak kuwasiliana nae kabisa.
simpo chukua dawa ya panya uijaribu kunywa uone kama inaweza kukusaidia.
hahahaha.
simpo chukua dawa ya panya uijaribu kunywa uone kama inaweza kukusaidia.
haaa! We dada maisha hayana mazoez, kusema nikikosea hapa kwenye mazoez ntafanya vzr kwenye performance.yann kufa kwa ajil ya m2 niliyekutana nae ukubwan?
Kwel naumia lakin cjafika hapo.
sasa waumia kitu gani wewe??