Habar wanajamii....
Yapata mwaka mmoja sasa tangu nilipo achana na mpenz wangu niliempenda sana.kiukwel hatukuachana katika hal ya kawaida.ulikuwa ugomv mkubwa sana,tangia hapo niliamua kuweka mbal suala la mahusiano na nipo single had leo.
Kinachoniumiza ni ile hal ya kuachana ktk ugomv. lile tukio linaninyima raha sana kila ninapolikumbuka.
Plz nishaur nifanye nn ili kutua huu mzigo.
Karibun sana.