sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 572
andika jambo unalojua ni la kipumbavu zaidi....
mimi najua nilivyoandika hii post ndo ya kipumbavu zaidi.
mimi najua nilivyoandika hii post ndo ya kipumbavu zaidi.
AhahahaNimesahau nilichotaka kuandika
Hilo ndo jambo la kipumbavu zaidi kwangu
Siku moja nilifanya jambo la kipumbavu tulipanga na demu nimgegede siku ya jumapili hasubui nikasahau nikafanya jambo la kipumbavu nikaenda kanisani, hasubui hiyo demu akawasili hom kakuta kufuri, nikakumbuka nikiwa katikati ya misa daah Mungu anisamehe sikumuelewa padri kabisa nawaza papuchi, kuanzia hapo hadi mwisho wa misa si unajua demu mpya mtoto rangi ya mtume from dubai. sikumpata tena na buku yangu alikula kitambo.KUIKOSA PAPUCHI