Jambo gani la kukera hutoweza lisahau ambalo mkeo alikutamkia alipokuwa mjamzito? Share nasi!

Achana na wajinga hao.

Wangeujua ukweli wala wasingejihangaisha kuwaza na kuwazua wewe ni jinsia gani.

Sasa mtu anadai eti umeumbuliwa wakati watu tunataniana tu hapa na kucheka huko nje.

Ujinga kitu kibaya sana.
Ahhahahaa nimefurahi aisee ,
 
Ahhahahaa nimefurahi aisee ,
Achana hilo jinga.

Si tunataniana lenyewe linadai eti nimekuumbua

Mijitu mingine bana.

Hata haijijui kama ni mijinga!

Ni heri uwe jinga halafu uwe unajijua maana walau ukijijua utajua na wapi pa kukaa kimya.

Eti nimekuumbua

Hebu endelea kucheka uongeze siku zako hapa duniani.
 
Hahahahahahah Ngabu acha kuniumiza mbavu
 
Hahahahahahah Ngabu acha kuniumiza mbavu
Mijitu mingine inapenda sana kujifanya mijuaji huku haijui kitu.

Utani wetu mi na wewe yenyewe inajifanya kuleta ujuaji.

Hahaaa....hebu endelea kucheka tu maana ni dhahiri kabisa haiujui ukweli.

Kuna mwingine aujuaye uanamke wako kuliko mimi?
 
Wana hamu sana umewaona ee
Ndio maana nakupenda
 
Muone Kwanza Alivyo, Mtu Una Sura Mbaya Hadi Najilaumu Kwanini Nilikukubalia. Tena Namuomba Mungu Mtoto Atakaezaliwa Asifanane Na Wewe Maana Nitaona Hadi Aibu Kumbeba Mbele za Watu.

Nb: Baada Ya Kujifungua Alinitaka Radhi Kwa Yote Aliyobwabwaja Kipindi Cha Ujauzito.
 
Back
Top Bottom