Jambaziiiii!!!!

Jambaziiiii!!!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Jambazi amevamia nyumba
akataka kuiba na kuwaua
wenye nyumba...
"Kabla sijawaua nitajieni
kwanza majina yenu"
Mama: naitwa Zaituni jambazi: wewe sikuui kwa
sababu mama yangu
anaitwa Zaituni, enhe na
wewe?
Baba:mimi naitwa Said ila
kazini wananiita Zaituni...
 
Jambazi: Nisingekuua kwa sababu ya jina la Zaituni
lakini hilo la Said ni la baba yangu aliyenitelekeza na
kumdhurumu mama mali, kwa hiyo jiandae kufa...
 
Jambazi: Nisingekuua kwa sababu ya jina la Zaituni
lakini hilo la Said ni la baba yangu aliyenitelekeza na
kumdhurumu mama mali, kwa hiyo jiandae kufa...

teh teh teh.....!!!
Ur a critical thinker.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom