Jambazi mstaarabu

Jambazi mstaarabu

Jambazi kavua viatu lol! Hawajui hata kuvaa uhalisia wa tukio husika, bongo movie ovyooooo!
 
Haaaa!Naona nyayo zinavojichora!atasaidia upelelez, Uongo muvi noma sana
 
Ni mtisiniki nini mbona kaacha viatu nje?
 
tusiende mbali, angalia tu mdada wa watu anavyoogopa, ashawahi kuona jambazi kweli huyo? hahaha
bongoo movie, tusipoangalia tunalaumiwa ohh uzalendo, uzalendo upi? upuuzi huu nani akae anaangalia, ohh industry inakua, inakua vipi? siku mkiacha kupeana kazi wale mnaojuana mara ohh kawa miss sasa aigize, mara ohh msanii sasa aigize, ohh mjomba, ohh shangazi, nyambafu! some guys wanatengeneza hela ya kuwawezesha kuishi bongo hongera lakini hizo hela kila siku mnapata hamna mnachoboresha, director, producer, editor mtu moja, kampuni ya mavazi ni ya kwake huyohuyo, ya makeup kila kitu ya kwake... nyambafu... director unapitishaje scene kama hiyo na unaikubali kabisa kuweka kwenye production nyambafu.... yani ingekua mimi kila dakika ungesikia cut, sepa, twende tukatafute mwingine...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom