ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 121
Jambazi aliingia kanisani na bunduki akasema " Wanaosema wanampenda Yesu wabaki humu, wasiompenda watoke nje" Waumini wote wakatoka nje ndani akabaki mchungaji na wazee wawili tu. Jambazi akamgeukia mchungaji akamwambia " Sasa unaweza kuendelea na ibada baba mchungaji, nilitaka kukuondolea wanafiki" Merry Christmas and Happy New Year