Jamani wakuu,ni muda mrefu nimeumizwa na jambo hili,leo naomba mnipe ushauri..nilipokuwa kidato cha tatu nilijiunga na CHAPUKA(Chama cha wafanya masturbation"puli" Kibaha)..kiasi kwamba matamanio dhidi ya wasichana yapo lakini nina2mia njia hii mbadala kumaliza haja yangu,muda unakwenda na kubahatika kupata girlfrnd,lakin nimeshndwa kuacha,naomba ushauri wakuu nifanyeje?