Jamani!

IFRS 9

Senior Member
Oct 5, 2011
168
22
Jamani wakuu,ni muda mrefu nimeumizwa na jambo hili,leo naomba mnipe ushauri..nilipokuwa kidato cha tatu nilijiunga na CHAPUKA(Chama cha wafanya masturbation"puli" Kibaha)..kiasi kwamba matamanio dhidi ya wasichana yapo lakini nina2mia njia hii mbadala kumaliza haja yangu,muda unakwenda na kubahatika kupata girlfrnd,lakin nimeshndwa kuacha,naomba ushauri wakuu nifanyeje?
 
Acha kuwaza ngono au kuangalia picha za ngono. Fanya mazoezi ya nguvu. Huenda itakusaidia!
 
Pole. Kabla hujaenda popote kwa counseling, jipe huduma ya kwanza mwenyewe, inaweza kukusaidia kabisa. Huduma yenyewe ni hii.

1. Amua mwenyewe toka moyoni mwako na akilini mwako kuacha kabisa jambo hili

2. Chukia kujichua, na akili yako ijengeke kwamba ni jambo baya la hatari ambalo wewe hulipendi na hutaki kabisa kuendelea kulifanya. Ogopa kutenda dhambi maana hata Mungu hapendi ujichue.

3. Jione una thamani kubwa na huwezi kufanya uchafu huo tena, pia elewa mungu alimuumba mwanamke kwa ajili yako

4. Acha kabisa kuwazia ngono. Mawazo hayo yakikunyemelea tafuta shughuli nyingine ya kufanya. Usipeleke mkono wako kwenye nyeti zako ili kujifariji. Usiangalie picha za ngono.

5. Fanya mazoezi, lala mapema.

6. Chunguza ni nini kinakupelekea kuwaza kujichua na ukiache mara moja, pia epuka kukaa kwenye mazingira yatakayokutamanisha ujichue.

7. KUMBUKA WEWE NDIE MWENYE JUKUMU LA KUFANYA KILA UWEZAVYO ILI KUACHA KUJICHUA. KATAA KUJICHUA, NAAMINI UTAFANIKIWA.
 
Asante sana Happiness kwa ushauri mzuri..nakuhakikishia nitaufanyia kazi.
 
Punyeto

Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na haya ya kujitafutia mtu na hofu ya kuambukizwa maradhi ya zinaa.

Tathmini mojawapo

Kufanya hivyo ni kupotosha maana ya jinsia kwa binadamu, ambayo ni kufanya wawili wawe kitu kimoja kwa nguvu ya upendo ambao uanze rohoni na kukamilika katika muungano wa miili yao.
Upendo maana yake ni kujitoa kwa muungano na mpenzi unaoleta tunda lake katika mtoto, ambaye ni kwa pamoja wa baba na wa mama, akiwaunganisha upya ndani mwake.

Katika tendo la kujichua hakuna lolote kati ya hayo: hakuna upendo wala kujitoa kwa wengine, hakuna muungano wala uzazi, isipokuwa kujitafutia iwezekanavyo furaha ya kimwili (ashiki) iliyokusudiwa na Mungu kuwa sehemu ya furaha nzima ya muungano wa ndoa.
Katika tendo hilo la ubinafsi mtu yuko peke yake na kubaki peke yake: halengi chochote nje ya mwili wake, hivyo anazidi kuzama ndani mwake

badala ya kustawi kwa kujiwekea malengo mema (k.mf. ndoa, haki, huduma kwa wenye shida, utume n.k.). Matokeo yake ni kupoteza nguvu za mwili na hasa kuvuruga msimamo wa nafsi kwa kujisikia mnyonge, mwenye kosa na mtumwa wa tendo ambalo analikinai mara tu baada ya kulitenda. Hatimaye anaweza kupata matatizo katika tendo la ndoa.

Kwa msingi huo Kanisa Katoliki linahesabu punyeto kuwa dhambi kubwa, tena upande mmoja ni kubwa kuliko uasherati (kuzini kati ya msichana na mvulana), kwa sababu linakwenda kinyume cha maumbile na kuandaa njia kwa dhambi nyingine (k.mf. ushoga).
Hata hivyo elimunafsia inatueleza pia urahisi kwa mtu asiyekomaa kimapendo kufuata njia hiyo danganyifu, tena ngumu kuachwa baada ya kuzoeleka.

Ndiyo sababu Kanisa linamhimiza padri kupokea kwa huruma wenye tatizo hilo na kuwasaidia mashauri ya kibinadamu pia kuhusu afya ya mwili na ya nafsi. Kwa mfano: kunyoshaviungo kwa kazi za mikono au kwa michezo, kulalia pagumu tena si kifudifudi, kukwepa vinywaji vinavyochochea neva (kahawa, chai n.k.), kushirikiana zaidi na watu, kusaidia wenye shida. Upande wa roho awashauri kufuata vizuri dini. Awatumainishe wanaweza kushinda, kwa hiyo wasikate tamaa wala wasiogope mno.

PUNYETO IMEKATAZWA KWA DINI ZOTE MBILI YAANI DINI YA KIISLAM NA DINI YA KIKRISTO KWA USHAURI WANGU BORA UACHE KUPIGA HIYO PUNYETO NA UKIENDELEA SANA MATOKEO YAKE NGUVU ZAKO ZA KIUME ZITAPUNGUWA HUTAWEZA KUMSTAREHESHA MWANAMKE VIZURI.
 
Mkuu Mzizimkavu nimekupata na kwa hakika nitajitahd kwa kila njia nitemane na Punyeto
 
punyeto

punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na haya ya kujitafutia mtu na hofu ya kuambukizwa maradhi ya zinaa.

tathmini mojawapo

kufanya hivyo ni kupotosha maana ya jinsia kwa binadamu, ambayo ni kufanya wawili wawe kitu kimoja kwa nguvu ya upendo ambao uanze rohoni na kukamilika katika muungano wa miili yao.
Upendo maana yake ni kujitoa kwa muungano na mpenzi unaoleta tunda lake katika mtoto, ambaye ni kwa pamoja wa baba na wa mama, akiwaunganisha upya ndani mwake.

Katika tendo la kujichua hakuna lolote kati ya hayo: Hakuna upendo wala kujitoa kwa wengine, hakuna muungano wala uzazi, isipokuwa kujitafutia iwezekanavyo furaha ya kimwili (ashiki) iliyokusudiwa na mungu kuwa sehemu ya furaha nzima ya muungano wa ndoa.
Katika tendo hilo la ubinafsi mtu yuko peke yake na kubaki peke yake: Halengi chochote nje ya mwili wake, hivyo anazidi kuzama ndani mwake

badala ya kustawi kwa kujiwekea malengo mema (k.mf. ndoa, haki, huduma kwa wenye shida, utume n.k.). Matokeo yake ni kupoteza nguvu za mwili na hasa kuvuruga msimamo wa nafsi kwa kujisikia mnyonge, mwenye kosa na mtumwa wa tendo ambalo analikinai mara tu baada ya kulitenda. Hatimaye anaweza kupata matatizo katika tendo la ndoa.

Kwa msingi huo kanisa katoliki linahesabu punyeto kuwa dhambi kubwa, tena upande mmoja ni kubwa kuliko uasherati (kuzini kati ya msichana na mvulana), kwa sababu linakwenda kinyume cha maumbile na kuandaa njia kwa dhambi nyingine (k.mf. ushoga).
Hata hivyo elimunafsia inatueleza pia urahisi kwa mtu asiyekomaa kimapendo kufuata njia hiyo danganyifu, tena ngumu kuachwa baada ya kuzoeleka.

Ndiyo sababu kanisa linamhimiza padri kupokea kwa huruma wenye tatizo hilo na kuwasaidia mashauri ya kibinadamu pia kuhusu afya ya mwili na ya nafsi. Kwa mfano: Kunyoshaviungo kwa kazi za mikono au kwa michezo, kulalia pagumu tena si kifudifudi, kukwepa vinywaji vinavyochochea neva (kahawa, chai n.k.), kushirikiana zaidi na watu, kusaidia wenye shida. Upande wa roho awashauri kufuata vizuri dini. Awatumainishe wanaweza kushinda, kwa hiyo wasikate tamaa wala wasiogope mno.

Punyeto imekatazwa kwa dini zote mbili yaani dini ya kiislam na dini ya kikristo kwa ushauri wangu bora uache kupiga hiyo punyeto na ukiendelea sana matokeo yake nguvu zako za kiume zitapunguwa hutaweza kumstarehesha mwanamke vizuri.
father........??????????????????????????kweli unaokoa wenye kuungama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom