kisasangwe
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 292
- 56
ha ha ha kama jana ndo Tumaini university imetia fora.....yaani nilibaki nacheka kumuona yule dada macho yakimtoka wakati wenzie wanabonyeza kitufe!! ha ha ha
ni kitu gani?
baba E msamee bure ki noname hicho!!ni kitu gani?
Hommie mi simo hapo!baba E msamee bure ki noname hicho!!
Hommie mi simo hapo!
baba E msamee bure ki noname hicho!!
Hommie mi simo hapo!
bora ujitose.....Mimi nimo hapo
ha ha ha hommie nilitaka nisepe ila kamanda hapa chini kaniakikishia usalamaHommie mi simo hapo!
Back to Z mada...yeah huwa wanapewa maswali sasa sijui tatizo linkuwa wapi hapa...(sijui tumezoe Simbi/madesa)Mimi nimo hapo
?
je ni kwamba we never learn from our previous makosa,? manake haya mashindano hayajaanza leo,na kila wakati tunaburuzwa. kenyan kila mara wanakimbiza mchakamchaka .wapi tunapokosea jamaniiiii. INAUMA
ha ha ha hommie nilitaka nisepe ila kamanda hapa chini kaniakikishia usalama
huna lolote wewe hata yule celebrity ucharwa unamkimbia.....
Back to Z mada...yeah huwa wanapewa maswali sasa sijui tatizo linkuwa wapi hapa...(sijui tumezoe Simbi/madesa)
BHT uchokozi hu nani kakwambia upake rangi ubao wangu? mi hapa simo kabsaa!! back to the mada yaani ungeuna jana ya Tumaini ungecheka...wakati naangalia nilikaa kimyaaa. u know wara i mean here!!umemrithi Kimey na yeye kachukua nafasi yako , sio mbaya
bora ujitose.....
hivi huwa hakuna marudio? mi jana nilimiss.....
That is not the case mzee, maana Kiingereza kinachotumika sio kigumu kiviile mtu akashindwa kuelewa!! ni upeo mdogo tu wa mambo ya kidunia!!Ama kuna some sort of komunikeshen barrier, coz that might lead to the poor performance... am just thinking out loud
Mimi nimo hapo
Back to ze madaz.
Si huwa wanapewa maswali mengi wanasoma then wanaulizwa?
BHT uchokozi hu nani kakwambia upake rangi ubao wangu? mi hapa simo kabsaa!! back to the mada yaani ungeuna jana ya Tumaini ungecheka...wakati naangalia nilikaa kimyaaa. u know wara i mean here!!
That is not the case mzee, maana Kiingereza kinachotumika sio kigumu kiviile mtu akashindwa kuelewa!! ni upeo mdogo tu wa mambo ya kidunia!!