Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

hamsini ilikuwa halali ndo maana hutuambia, 500,000 ndo unatangaza dau nipe namba yake, kwangu hata sent hamsini hapati na akiomba maji namnuulia ya kwenye viroba
 
Ushauri wa bure kwako jb ni kuwa jenga kwanza nyumba kwa kuwa kiwanja chako pale mbweni kina msingi na unalalamika kila siku kuwa huna hela sasa hizo elfu hamsnii unazohonga jiulize ni mmifuko mingapi ya simenti•mara unatafuta mwanamke mwenye bikira mara ohh jamani nipeni namba ya jack wolper ka mwenzetu una pepo au•mahausgirl wewe mhhh kazi kweli kweli mkeo masikini hajui yote haya na sidhani kama hata mafuta unamwekeaaga kwenye gari hebu fanyiwa maombi kaka uache hizo ofisi nzima wajua uchuro wako badilika
 
wewe ni mmoja wa miajadaume mijinga. mtu hamjuani unamtoa 50,000 kama ni kweli. Usikute kwenu umeombwa hela ya matibabu ya nduguyo ukamtolea nje huna. Hata hivyo hii kitu imekaa kufikirika zaidi kuliko reality, hamsini for the first instance......! ni zaidi ya mjinga, mweee!
 
Ushauri wa bure kwako jb ni kuwa jenga kwanza nyumba kwa kuwa kiwanja chako pale mbweni kina msingi na unalalamika kila siku kuwa huna hela sasa hizo elfu hamsnii unazohonga jiulize ni mmifuko mingapi ya simenti•mara unatafuta mwanamke mwenye bikira mara ohh jamani nipeni namba ya jack wolper ka mwenzetu una pepo au•mahausgirl wewe mhhh kazi kweli kweli mkeo masikini hajui yote haya na sidhani kama hata mafuta unamwekeaaga kwenye gari hebu fanyiwa maombi kaka uache hizo ofisi nzima wajua uchuro wako badilika

Heeeheeeheee we kweli umeniona mpaka rohoni! Ulijuaje shekhe? Ushauri mzuri sana!
 
Ushauri wa bure kwako jb ni kuwa jenga kwanza nyumba kwa kuwa kiwanja chako pale mbweni kina msingi na unalalamika kila siku kuwa huna hela sasa hizo elfu hamsnii unazohonga jiulize ni mmifuko mingapi ya simenti•mara unatafuta mwanamke mwenye bikira mara ohh jamani nipeni namba ya jack wolper ka mwenzetu una pepo au•mahausgirl wewe mhhh kazi kweli kweli mkeo masikini hajui yote haya na sidhani kama hata mafuta unamwekeaaga kwenye gari hebu fanyiwa maombi kaka uache hizo ofisi nzima wajua uchuro wako badilika

Unajua ukiwa na pesa jitahidi angalau ule bata ufike nusu ya raha za dunia!
Ndo mahangaiko ya mwanadamu ndugu yangu!
 
Ushauri mzuri uache umalaya na utunze watoto wako bado wadogo j na mwenzie
 
ha kumbe una mke ndo mana ulihonga pesa nyingi hivyo ningeshangaa manake bachelors huwa hawaongi kirahisi hivyo.kama vile ambavyo umepoteza imani kwetu na mimi ni hivyo hivyo nimepoteza imani kwenu
 
hahaha jamaaa umenifurahishaa,inaonekana giaa zako unatangazaa una ma mpungaaaa kwa mabinti,unawadatishaaa...ukipigwaa kirungu mzingaa una jam.uliii stedeee sebo.
 
Hao wako wengi Sinza...wote wanajiita wametoka ulaya leo na wako sinza kwa bahati mbaya maana ndege iliyokuwa inawapeleka australia ilipata pancha ikiwa hewani,lol! Ni magumashi mji huu kwa kwenda mbele
 
Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:

Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!

Kumbe hujamwelewa wewe, issue ni kwamba hakutaki na keshalamba 50k zako kwahiyo akaona gear ya kukutosa ni kukupiga mzinga mwingine ili umkimbie. Maduu wa mjini wanazo sana hizo, you have to be smart to deal with them.
 
Back
Top Bottom