Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani

Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo
sana!

Mjini shule, ww mgeni au? Why unatoa elfu 50 bila kula mzigo? Ungeenda Ambience buku 10 tu unajichagulia, heee, tena ungekula mzigo angekuomba vocha ya elfu 2000 tu, wee amka....hakuna mtu kuliwa nowadays, toa pochi, get huduma, hata ukiwa bubu utapewa mzigo, period
 
alivyokuomba hamsini mbona hukutuambia na ukampa sasa kama angekuvulia****** ungetuambia?
 
umebanwa pabaya mkuu siri zote nje .......na shem ndo akiona umekwisha,kuna ukweli hapa mbona unaonekana kupanic,,,,,,una watoto wawili jf unajifanya single kha jamani mungu atusaidie
 
umebanwa pabaya mkuu siri zote nje .......na shem ndo akiona umekwisha,kuna ukweli hapa mbona unaonekana kupanic,,,,,,una watoto wawili jf unajifanya single kha jamani mungu atusaidie
Hakuna siri juu ya hili mama! Labda niweke wazi kidogo wapi hivi palipokuwa na usiri?
 
Nipm namba yake nim2mie izo lak 5, acha ubahiri yaaani umempa elfu50 tu? Unalalamika? Usirudie tena kuanzisha uzi kama huu!
 
Ushauri wa bure kwako jb ni kuwa jenga kwanza nyumba kwa kuwa kiwanja chako pale mbweni kina msingi na unalalamika kila siku kuwa huna hela sasa hizo elfu hamsnii unazohonga jiulize ni mmifuko mingapi ya simenti•mara unatafuta mwanamke mwenye bikira mara ohh jamani nipeni namba ya jack wolper ka mwenzetu una pepo au•mahausgirl wewe mhhh kazi kweli kweli mkeo masikini hajui yote haya na sidhani kama hata mafuta unamwekeaaga kwenye gari hebu fanyiwa maombi kaka uache hizo ofisi nzima wajua uchuro wako badilika
Mweeeeeeeh makubwa hayoo, kumbe fujo zote hizo hata kibanda hana???? Ila malimbukeni wa hivyo wako wengi sana mjini hapa. Shame on you jb.
 
Ahaaahaa waungwana binti katuma sms nyingine sasa hivi!

Yani nimekutumia sms tangu mchana nimekwambia ninashida na laki tano umesema hujaiona?sasa huo ulikuwa mtihan mdogo 2 umeshindwa naona ha2wez kuwa wapenz.bye.
We sindio una Thread unatak kuunda kampuni ya mauaji? ( assassination company). Ss siumnaniliu 2 aache kukuomb ela..over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From Baddo dot com huyo hahaha hamjaonana kivipi hadi ukamtoa duh!
 
Hao wanaoomba pesa kabla hamjakutana mie naweweza sana waletni tu waje kwangu
 
Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:

Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!
Au ndiyo yule binti bikira umeshampata na kula tunda. Mpe hiyo laki tano maana kwa usawa huu kumpata binti bikira ni nadra sana. Umenichekesha kweli Yericko....
 
Back
Top Bottom