jamani yamenikuta........!!!!!!

jamani yamenikuta........!!!!!!

Tupe hiyo sms maana hainiingii akilini kwanini kasevu hiyo sms?.Ongea ukweli kama shoga yako anacheat this might be the end of story.:shut-mouth:
 
Tatizo hapo ni "Boyfriend wa muda mrefu"
 
yani uzuri wa jf huwa wanachama wake hawakutwi na kitu chochote, kila atakeye leta mada, nirafk yangu, kaka yangu, jirani yangu, dada, mdogo. Tumshukuru mungu kwakuwa tupo perfect.

Mie mwenzenu yamenikuta hukooo. Hebu nendeni mkanishauri kuna thread nimeanzisha
 
yani uzuri wa jf huwa wanachama wake hawakutwi na kitu chochote, kila atakeye leta mada, nirafk yangu, kaka yangu, jirani yangu, dada, mdogo. Tumshukuru mungu kwakuwa tupo perfect.

Mie mwenzenu yamenikuta mie mwenyewe sio rafiki wala dada wala jirani hukooo. Hebu nendeni mkanishauri kuna thread nimeanzisha
 
huyo mwanaume hajui mwanamke kutongozwa lazima kukubali hiari?????
 
wewe kijana unatania...lazima kucheki simu mwana maana hawa wadada siku hizi kugegedwa na dudu moja imepitwa na wakati...minimum dudu 2 mndo wanaridhika....sasa bor a ujuage mapema kuwa hapa tupo wengi

je ,tuko wangapi? Tulizana.
 
Kupekua simu ya wife au gf ni kujitafutia presha bure, mi sina muda huo kama ana maovu yake nitayajua kwa bahati mbaya sio kwa kuyapekua, najidanganya kuwa nipo peke yangu na nashukuru moyo wangu umeridhika na huo uongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom