OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Hahahahha inawezekana isiwe sawa lakini kitendo cha kutozifuta kina maana kubwa sana especially kwetu wanawake (na kama mtu ameshanasa). Ukimkuta mpenzi wako amehifadhi sms za mapenzi toka kwa mtu anayedai hampendi jiulize mara mbili mbili.
1. Saikolojia yetu huwa ni kukihifadhi kitu kinachokupa faraja, unachopenda kukiona so kama sms ya mtu mwingine imehifadhiwa jua tu huwa tuna-revisit mara kwa mara na kufantasize
2. Lakini inawezekana pia kuwa huyo mpenzi wako hazijali hisia zako kwa sababu Id rather tell you kuwa flani amenitongoza (if its necessary at all) kuliko kukuacha uje uone amenitongozaje! Ni kuumiza hisia zako aisee.
Then hapa ni kuwa demu kachemka na alinywe tu haina haja ya kupeana ushauri juu ya mtu aliyefuga tatizo to that extent
1. Kama ingekuwa ni wewe cud you dare that much.........???????
The whole act was dangerous and thus she was supposed to have escape mission before hands.....