Mwanaume anaye enda kukagua simu ya mwanamke mara nyingi sana ana matatizo ya kiakili, mana hajiamini na hatakuja amini anaye mpenda.
Siku njema mpe pole shoga yako.
Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms ya mwanaume mwingine ambae anamfuatilia kwenye cmu ya rafiki yangu.tatizo n kwmb huyo shemeji yangu anazidi kumuuliza yule n nani yake,kila akimuelewesha shemeji yangu hataki kuelewa anamwambia n bwana ake sasa shoga angu ata aelewi afanyeje.
yani uzuri wa jf huwa wanachama wake hawakutwi na kitu chochote, kila atakeye leta mada, nirafk yangu, kaka yangu, jirani yangu, dada, mdogo. Tumshukuru mungu kwakuwa tupo perfect.
Si ndo nakuwambia wanaume tunapishana, wengine tunapo penda tunajua wapi pakupenda:A S thumbs_up:wewe kijana unatania...lazima kucheki simu mwana maana hawa wadada siku hizi kugegedwa na dudu moja imepitwa na wakati...minimum dudu 2 mndo wanaridhika....sasa bor a ujuage mapema kuwa hapa tupo wengi
Sasa kama mtu unamuelewesha na hataki kuelewa afanyaje? ampotezee siku akielewa atarudi mwenyewe!!! Asije kuwa alikuwa anatafuta visingizio tu afanye anachotaka kufanya.
By the way, huyo rafiki yako kwa nini hakuwa anazifuta SMS za huyo mwingine wakati anajua wazi kuwa ana mpenzi ambaye anamchunguza?
Sasa yamekukuta wewe ama shoga kidawa?
So yote sawa ila awe anafuta????????
Anaye chunguza mke wake ni mwendawazimu tu, mana kaowa sehemu hajamini....siku njema :A S thumbs_up: