Jamani "X" na "S" ni sawa?

Jamani "X" na "S" ni sawa?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Imekua kawaida
 

Attachments

  • 1391318882987.jpg
    1391318882987.jpg
    60.9 KB · Views: 714
Sasa wata ichakachua hadi K watatumia Q .
Badala ya kaka itakuwa qaqa.
Mwendo mdundo.
 
Qaqa xaxa xixi wa mwaqa 47 2taelewaje jaman? Au xhule za memkwa zinafundixha nazo?
 
Tena hii nikiona mwanaume anaweka x katika s najiuliza marambili mbili,watoto wakike ndo wanapenda hiyo stahili,namtu akiandika hivyo simjibu kabisa
 
Tena hii nikiona mwanaume anaweka x katika s najiuliza marambili mbili,watoto wakike ndo wanapenda hiyo stahili,namtu akiandika hivyo simjibu kabisa

Sijui hua wanalipia wino wakiandika?
 
Tena hii nikiona mwanaume anaweka x katika s najiuliza marambili mbili,watoto wakike ndo wanapenda hiyo stahili,namtu akiandika hivyo simjibu kabisa

Mkuu, we have the same idea, mi huwa nachukia sana mwanaume akiniandikia hayo maandishi hupelekea mpaka nam-consider kama ni demu
 
Hao watu wananiboa balaa...mtu akitumia hizo herufi kwenye msg sijibu
 
Back
Top Bottom