Jamani "X" na "S" ni sawa?

Jamani "X" na "S" ni sawa?

Tena hii nikiona mwanaume anaweka x katika s najiuliza marambili mbili,watoto wakike ndo wanapenda hiyo stahili,namtu akiandika hivyo simjibu kabisa
Mkuu tuko pamoja, yaani huo mtindo wa kuandika hivyo huwa unanikera Sana Na hasa dume likiandika hivyo huwa silijibu nalichukulia Kama punga tu au la namwambia Mimi sielewi lugha ya kishoga!
 
Sijui lawama tuwapelekee walimu wa lugha mashuleni?
Cc; Kifimbo Cheza
 
Last edited by a moderator:
Yaani kuna wadogo hasa hawa wa shule za kata,we acha tu!! Eti anakuandikia ivi: "habari xa xiku bro,nipige tafu ya kama xhilingi elfu ixhilini ivi"! Halo, huwa nataka kutapika na sms za namna hii huwa nazi-delete na hiyo amount sitoi kwa sababu ya huu uchafuzi wa lugha ya taifa tena wanayofundishwa kila siku.
 
Mkuu ndio wote siku hizi
 
Karibia tutakuwa kisayansi na teknolojia..tunaanza na mapinduzi ya maandishi baada ya kushindwa kilimo kwanza.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hivi kuandika X na S kipi rahisi kwa kutumia simu au kompyuta, maana mi naona kutafuta x ni shughuli kidogo. Hiyo ya Q kwa K itakuwa balaaa.
 
Back
Top Bottom