ARCHBISHOP
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 271
- 485
Wana jamii forum mmegundua kuwa tokea saa tatu usiku huu whatsup haifanyi kazi? What is happening?
WanazinguaMkuu sio ww hadi mimi na mwenzang hapa pemben WhatsApp zetu azifanyi kazi
Bora wangefanya mwakan 2018Kwangu haifanyi kazi.
ndio mkuu..mimi mwenyew nilipata shd sanaDuuh kumbe hili tatizo ni la wengi?