Jamani wengine tuna hisia kali

Kuna tukio leo limenitokea. ngoja nisimulie hapa nipate kujua kiundani, nimefanyiwa makusudi au bila kujua.

Leo mida ya jioni nilikua maeneo fulani kitaa nipo na washikaji zangu tunapiga story, ilikua nje ya ukumbi wa Games (PlayStation)
tulikua watatu tunapiga story tumekaa kwenye bench na jamaa ambae ni office yake hapo.

Basi kulikua na wadada wawili majirani tu hapo (wao ni mafundi cherehani) wakaja kujiunga kwenye benchi letu story zikaendelea..

Story zilikua nyingi tu, kifupi mimi hao madada sina mazoea nao, hata kuongea nao sijawahi labda kupishana nao tu hayo mazingira. kwahiyo nilikua nachangia kidogo sana kwenye hizo story ambazo zinaendela.

Wao ndio walikua wanataniana sana na hao washikaji zangu wawili, mdada moja anadai mmoja hapo kati ya hao marafiki zangu ni bwana yake, akawa anamwambia wewe hunijali mala umeanza tabia ya kumpenda fulani.. sijui unamchepuko.. yani utani mwingi..

Basi tukio lilonitokea mimi ni, manzi wa pili alikuja kukaa karibu na mimi alikua kakaa mbali kidogo ila alidai anataka kukaa na mimi karbu, na kisha akawa kanikumbatia kwa mkono wake mmoja, yani alipitisha kabisa mkono wake hadi bega langu la upande wa pili..

Kiukweli huyo mwanamke alikua na matiti mazuri na yana joto sana kiasi kwamba nilikua nalihisi ziwa lake katika mkono wangu ulio upande wake.

Alikua kakaa kushoto kwangu, jamaa yangu yupo kulia kwangu, mimi katikati. Sasa alipokua akijarbu kuongea vizuri na huyu alie kulia kwangu amba yuko mbali zaidi, inafikia hatua ziwa/titi la huyu dada linagusa kifuani kwangu.

Yani fujo fujo tu, yeye kajiachia tu na kavaa nguo nyepesi juu. Akawa ananiuliza maswali mala naitwa nani, mala aniulize maswali ambayo hata hayaniusu mimi kabisa.

Sasa kichwani nikawa najiuliza anafanya hivi makusudi au vipi ?
Haoni kwamba ananitia mimi kwenye majarbu ?
Hata nikishawishika nikamtongoza, atanikubali na kunipa mzigo ?

Ilifika muda nikaamua kuondoka niwaache waendelee kutaniana wanao juana, nikawaaga nikaondoka.
Hujiamini, utakosa vingi
 
Ona sasa unavyofeli kizembe.

Kilichokuondoa nini?

Ukaishia zako bafuni 🤫🤫🤫😰😰😰

Pole Dear.
Ni kiburi tu cha kua double.
Niko na manzi yangu mmoja special. 😁
 
Ungekua na dame/ wife afu ukakwepa mtego kama huo ningekupa big up sana.

Hata hivyo nakupa bigup kwa kuweza kuji control badala ya kuchukua mzigo huo na kuuwahisha machinjioni.

Take time jua unachotaka kabla hujamkula.
 
Ungekua na dame/ wife afu ukakwepa mtego kama huo ningekupa big up sana.

Hata hivyo nakupa bigup kwa kuweza kuji control badala ya kuchukua mzigo huo na kuuwahisha machinjioni.

Take time jua unachotaka kabla hujamkula.
Sio siri sikufanikiwa kuondoka pale kwa uwezo wangu binafsi ni Mungu tu 😂😂
 
Kuna mahali kwenye biblia pameandikwa ,ikimbieni zinaa. Dah huo mstari unanitafakarisha sana. Mungu tu atusaidie.
 
wewe ni mtoto.. sikiliza

uyo mtoto wa kike ana nyege kama kisado hivi na wewe ni domo zege, kapitie uzi wa kimasihara soma uuelewe uchape mbususu iyo

alafu uje kuishukuru jf
Imeandikwa "Ole wao wanasababisha vikwazo,ni Bora watu hao kufungiwa jiwe shingoni na kutupwa Baharini".Kamwe usiwe Sababu ya huyu jamaa kufanya uzinzi.
 
Back
Top Bottom