Jamani wapi hapo yakhe??????????

Kumbe Bandari ya Unguja ndiyo imekuwa nzuri hivi, mara ya mwisho niliacha wanaikarabati. SAFI SANA!!
 
Hii lounge imekuwa nzuri sana kwa hapa Zanzibar,kweli Bakhresa anaweza kufanya vitu tofauti na mazoea yetu,kapabadilisha kabisa mahali pale na pamekuwa na ustaarabu kamilifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…