UBEA ndo ni? Sijatamka neno hilo hapa wala silijuiUBEA??? unamanisha ambao tuko jf ni wabea.
Kwani shogangu weye ni kitu gani kinakushindisha humu kama si umbea?So hiki ndo kijiwe chako cha umbea??!
How sad.
Niko poa mamii. Mzima wewe?Da sophy a.k.a mamaa ya "hainaga degree". Za masiku mwee?
kuna aliekuomba ujibu? em kaoge shombo la naniliu kwanzaMxiuuuuuuuuuu kuna mtu kakuuliza kuhus majukumu yako???
mmmmmwwwaaaaaaa!Kama kweli ume tumis ebu tupige kiss!
Kwani shogangu weye ni kitu gani kinakushindisha humu kama si umbea?
Nlishindwa kuamini kama ni typing error kwa sababu umerudia mara mbili kosa hilohilo
Niko poa mamii. Mzima wewe?
Mxiuuuuuuuuuu kuna mtu kakuuliza kuhus majukumu yako???