Jamani wapendwa nimewamisije?

Jamani wapendwa nimewamisije?

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
388
Reaction score
162
Habari za siku nyingi wadau. Nimewamisije? Nipo mwenzenu mishemishe ndio nyingi. Si mnajua tena majukumu yakiongezeka na muda wa umbea unapungua.
 
UBEA??? unamanisha ambao tuko jf ni wabea.
 
So hiki ndo kijiwe chako cha umbea??!

How sad.
 
Mxiuuuuuuuuuu kuna mtu kakuuliza kuhus majukumu yako???
 
Habari za siku nyingi wadau. Nimewamisije? Nipo mwenzenu mishemishe ndio nyingi. Si mnajua tena majukumu yakiongezeka na muda wa umbea unapungua.

Kama kweli ume tumis ebu tupige kiss!
 
Bora hata hujaandika id najua me ungeniweka pale kwenye NA WENGINE WOOTE....
 
Back
Top Bottom