Eti wao wanaona mimi nimechemka!!hivi jamani si kauliza tu uuuuuuu ili ajue
kama na yeye anahusika au amebajetiwa this season ajue
wagosha na wangima sasa yeye akae tu hajui
lolote mweh ,
bora ajue mapema na kama kujishuhulisha ajishuhulishe ili kujikimu
mweeeeeeeeeeeeehhh
hata mie napendaga kujua vipi haya maji mshikajia atayaweza? hhahhal
kwani na yeye si anapata.... nilienda mkoa fulani nikakutana na classmate wangu wa secondari coz of upweke nikaomba kampani yake ile anaondoka nkampa nauli anadai eti nimwongeze coz amenikubalia na majamboz nimepata sheenzi type nikampa kubwaaa kwani ww hukupata majamboz nipe basi mm hyo pesaaaatoa kitu upate kituzzzzz!!!
kwanza nyie wanawake ndo huwa mnaenjoy mwanzzo mwisho mwanaume ni second tu kwa nini msitoe nyie hzo hudumaVituko unavyo wewe ambaye una mke halafu unataka nje upate huduma ya
Bure wakati nyumbani unaacha kodi ya meza.
aise kweli mie mwenyewe hapa nashangaa demu wangu haombi hata senti hadi nimlazimishe wakati naona anaripuka hadi nahisi napigwa changa la machoMwanamke asipokupiga vizinga hakupendi!! mi ndio huamini hivyo, ndio mana wangu asiponiomba namuuliza "vipi mbona hunipigi mizinga? unamwingine nini unaempiga mizinga!"