Jamani wanaume

Hivi ni lini mtaapreciate hata kwa kiasi kidogo mnayofanyiwa,na kufanya jambo moja tu Upendo maana upendo wa kweli hauna usaliti ndani yake,na siyo kutoa visingizio kuwa umesahaulika.

Msifuge vicheche ndani
 
Avumilie atasahau kila kitu kina mwanzi na mwisho pia ajifunze kumeza vitu vigumu kama ivo hapo sio kila siku ni mteremko mtuu...
 
Kwa hiyo mwanamke asipotimiza wajibu unalala na mtoto wa kaka yake? Nae huyo mtoto asipotimiza wajibu utalala na wanao ama?

Unasupport upupuu. Mi ndo maana nikiona mke wa mtu ana affair wala siulizi. Watajiju!
wanawake wanatimiza wajbu wao..?deleted thread
 
Umeona eee!yaani ni nyie tu mna hisia kupita viumbe vyote maana,hata kuheshimu utu wa mtu kwenu halipo achilia mbali utu wenu

^^
Yaani kheri hata hao wenzangu mi ndo mwanaume mbaya kabisa,sijui tupewe nini jamani
^^
 
Sio kila mwanamme yupo hivyo!Huyu dada ana bahati mbaya tu kwani jamaa huyu ni mhuni tu kitabia
 
Kwa hiyo mwanamke asipotimiza wajibu unalala na mtoto wa kaka yake? Nae huyo mtoto asipotimiza wajibu utalala na wanao ama?

Unasupport upupuu. Mi ndo maana nikiona mke wa mtu ana affair wala siulizi. Watajiju!
soma post vizuri uielewe....
 
Hiyo mezea umenikumbusha wimbo wetu mmoja wa kingoni....unaambiwa hata ukiona mezea...na hata usikie wew mezea.....

cc Fixed Point... moto2012... snowhite

wanaimba hivi: KI;mezea,mezea....... WO;mezea,mezea eeeh mezea.......nimfarjk kukuona mngon hum.,ushankumbusha nyumban
 
Last edited by a moderator:
hawana hata maana, bila wao nafikiri ulimwengu ungekuwa na furaha sana.

hahaaa. si kweli hata kidogo. wanaume ndio wanafanya dunia izunguke. matatizo ya mleta mada yako kote kote, yaani kwa wanaume na kwa wanawake vile vile, hakuna jinsia iliyo swafi. hapa wahusika wakae kitako, wayamalize. kulalamikia wanaume tu haitoshi.
 
wanaimba hivi: KI;mezea,mezea....... WO;mezea,mezea eeeh mezea.......nimfarjk kukuona mngon hum.,ushankumbusha nyumban

Asante...tupo wengi hao niliowa mention hapo pia ni wangoni....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…