Bahati yangu
Member
- Sep 30, 2013
- 30
- 7
Dada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii ambayo inaanzwa na yeye kwenye ndoa yake.
Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?
Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?